Mwanamke ndiye mwenye dhamana ya kuamua mwanaume akae kifuani kwa muda gani

cadnopoints

Member
Sep 14, 2019
65
59
Habar wana jamvi!



Tatizo la kutokushiriki vizuri kweny sex kwa upande wa mwanaume ni pana sana kwani kinyume chake huhitaji mambo kadha wa kadha ili kufanyika vizuri..

Tukiachana na sababu za kitabibu kama vile magonjwa na dawa ambayo kwa namna moja au nyngne yanaweza kusababisha mwanaume kupungukiwa uwezo wa kushiriki vyema katika tendo la ndoa, zifuatazo ni sababu chache znazopelekea tatizo hlo pia

- Aina ya mwenza uliyenae. Hii ina maana kwamba ww mwanaume ili upige show kali inategemeana na mwanamke uliye nae. mfano ni kwa kiasi gan huyo mwanamke ana uweledi kuhusiana na sex.

Ngono ni tendo linalohitaji utayari wa mwili na akili(psychology), na hapa kwny utayari wa akili kuna shida sana kwa wanaume wengi hata kufkia hatua ya kuanza kutafuta dawa wakidhani wanamatatizo kumbe tatizo ni yeye . Currently kumekuwa na ongezeko la watu wanaodaiwa kuwa na upungufu wa nguvu za kiume, hii inachangiwa kwa kiasi kikubwa na psychological factor including hizo dawa znazotumiwa kusimamisha uume.

Ni vipi mwanamke anaweza ku determine how long mwenza wake aperform.
Mada hii ni pana kidogo lakini kwa kuifupisha tunatakiwa kujua kuwa wakati wa tendo unapaswa kujijua ww kwanza kabla ya kitu kingine. hapa unapaswa kujua strengths na weaknesses zako katika masumbwi.

Kimaumbile ni rahis sana kwa mwanaume kufika kileleni kuliko mwanamke hivyo ladies mnapaswa kujua kuwa ili ufike kileleni unapaswa kuwa selfish, hapa ina maaana unapaswa kufanya sex kwa ajili yako na si mwenzako Pia unapaswa kujua ni nini ufanye ili kujiridhisha wewe na sio mwanaume.

swali kwako wewe mwanamke, Je, unajua nini kuhusu foreplay?
je, unajua kuwa hapa ndo unapokwama kila siku usipofikishwa orgasm?

Oky, suala ni kuwa, katika physiology ya sex kuna hatua ambazo znapitiwa kabla ya kufikia kilele, foreplay ni hatua ya kwanza ambapo kwa kila jinsia ina umuhimu wa kipekee.
Fore play ni naandalizi kabla ya kugegedana ambapo tafiti znaonyesha uhusiano wa hatua hii na orgasm kwa mwanamke ( ni mada ndefu pia)
Sasa bas cha msingi ni kuwa, mwanamke unapotumia muda mrefu katika fore play na mwanaume hupelekea uume kusimama barabara kitendo ambacho huifanya ngoz ya uume kupungukiwa hisia ( it loses sentation to external stimulus) hali ambayo husababisha mwanaume kupump muda mrefu kabla ya kupiz.

issue nyngne ni kuwa kwanamke unapaswa kumfanya mwanaume wako azijue sehem zako za udhaifu ili kukuongezea hisia wakat wa mgegedo ili uweze kufikia kilele mapema.
swali ni je, wanawake wangap huwaelekeza waume zao cha kufanya wakati wa mgegedo?

nihitimishe kwa kusema kuwa mawasiliano ni silaha katika kufanikisha ubora wa mgegedo
 
Ni kweli mwanamke ndie mwenye dhamana ya kuamua mwanaume akae juu yake kwa muda gani. Hiyo dhamana ni 30% tu.
 
Umeongea point ambayo watu wengi hususani wanawake either hawaijui au wanaipuuza lakini ndio ukweli
 
Back
Top Bottom