Mwanamke ndio chanzo cha majuto kwa wanaume wengi lakini bado wanaume hatusikii tu.

Ni kweli mtoa uzi. Yashanikuta kipindi nipo na shemeji yako. Lkn hawa viumbe huwezi kuwakimbia sbb ni sehemu ya burudani ktk hii dunia lba km hausimamishi. Huwezi kuacha kuoa sbb huwezi pata watoto bila hawa viumbe cha muhimu unapiga unasepa baadae unachukua watoto
 
Ila mkuu...... have you ever wondered why God had never send a female prophet.....kuna siri kubwa katika hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu soma biblia vizuri nabii wa kike walishatokea kuna nabii Deborah

Tena biblia imetaja kama nabii mke,Tuvumilianage tu tupambane na hali zetu mwanaume bila mwanamke hauwez kamwe.
 
sio kila mwanamke anaweza kukuyumbiisha baada ya ndoa maybe huyo mwanaume hakuoa mwanamke wa type yake

wake wema bado tupo usikatishe tamaa waoaji.📌
Sikupingi, ila naamini wanawake wema hawapo tena kwa sasa, tunayoyaona yanatia aibu, rafiki yangu mmoja alituletea malalamiko kwamba mke wake amefikia hatua akiivisha chakula anatenga anakula na mtoto wake halafu yale masalia ndio anamuachia mumewe aje ale
 
Adam kawagonga wanyama kibao hadi Mungu akaamuonea huruma, akamuumbia Eva.
Halafu umeshawahi kujiuliza, wakati Eva anakula tunda Adam alikuwa wapi?
Kumbuka, walikuwa hawana purukushani zozote za maisha.
Ukweli ni kwamba Eva alikuwa mpweke sana, Adam alienda kuchepuka kwa mademu zake wa zamani ambao ni nyani, ng'ombe, simba na wanyama wengine
 
Back
Top Bottom