Mwanamke na mwanamme inawezekana wawe na urafiki wakawaida tu ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke na mwanamme inawezekana wawe na urafiki wakawaida tu ?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Babylon, Mar 18, 2012.

 1. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
 2. mgeni10

  mgeni10 JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,112
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Inawezekana kabisa bila matatizo
   
 3. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,336
  Likes Received: 1,026
  Trophy Points: 280
  Haiwezekani. Kama ww ni mwanamke na una rafiki wa kiume basi ujue siku moja lzm atakwambia kitu hicho....
   
 4. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Kama mlikua wapenzi penzi likatema na wote mkatambua kua you ar not meant to be wote kimapenzi inawezekana kabisa. Tena you become bffs.
   
 5. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hii mada kila mtu atajibu kulingana anavyoishi sasa, wale ambao wamejikusanyia marafiki wa jinsia tofauti watasupport na wale ambao hawaamini katika urafiki wa jinsia tofauti watapinga... mimi ni mmoja wa watu wanaoamini kuwa kuna uwezekano mdogo sana kutengeneza urafiki wa kawaida kati ya binti na kijana!! mwanzoni watu wanaweza kupretend kuwa wapo kawaida, ila mara zote katikati ya safari mambo hubadilika!! ila pia, inawezekana wewe unauona urafiki huo ni wa kawaida, je wajuaje huyo mwenzio anauona hivyo uuonanyo wewe?
   
 6. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Ndio inawezekana!
   
 7. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  inategemeana kama mmoja kati yao anamtaka kimapenzi mwenzake ataanza kumuwekea mitego ya kumnasa hadi atamla ila kama wote wawili hawatakani kimapenzi watakuwa marafiki wa kawaida.
   
 8. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Yeah,hii inawezekana sana.Sema inategemea sana na malezi na mazingira uliyokulia.Nachukulia mfano wangu nimekulia kwenye familia kubwa,i mean extended familly,ambapo nimekua na watoto wa kike watatu,wanne,na tulikuwa close sana,nimesoma co-education halafu day.Nimeenda JKT na Chuo ambako ni mchanganyiko na bahati nzuri nilikutana na mdada wakati nipo chuo tukawa kwenye group study moja pia.
  Huyu mdada akatokea kuwa rafiki yangu sana,hakuwa na bf na mimi nilikuwa na gf anasoma chuo kingine lakini alikuwa mtu ambae hata love life yangu alikuwa anaijua.Baada ya kumaliza chuo miaka hiyo,tulipangia kazi mikoa tofauti lakini tulikuwa tunatembeleana na alikuwa akija kwangu wakati huo naanza maisha nilikuwa na chumba kimoja "fullsuite",yaani chumba,unapika humo humo,makochi yako humo,yaani kila kitu basi tulikuwa tunalala pamoja,yeye kitandani mimi kwenye kochi
  Acha hiyo hata dadangu ninae mfuata ambae kulikuwa close pia wakati naanza maisha alikuwa akinitembelea tulikuwa tunalala chumba kimoja.
  Hii nafikiri inategemea kama nilivyosema mwanzo na malezi na mazingira uliyokulia
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Pitia uzi 'just a friend' wa The Boss nadhani, watu walimwaga mipweint ya kufa mtu hapo.

  Ila hii huwa mazingaombwe tu.
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  mi rafiki yangu nilikuwa namwita paka.....yeye akawa ananiita samaki....you know what happened.....?
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ha ha ha ha, you must be out of your mind.

  Samaki alimla paka???

   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  no samaki ndio alimmeza paka......ha ha ha ha.....


   
 13. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha ha ha ha! nyaaaaaaaaaaaaaaaaaaauuuuuuuuuuuuu!
   
Loading...