Mwanamke mzuri

Daata

JF-Expert Member
Dec 24, 2012
4,673
1,866
Habari za jumapili wanajukwaa!!
Kuna msemo kuwa uzuri wa mwanamke uko katika macho ya mwonaji ukimaanisha kuwa anayemwangalia mwanamke ndiye atakayesema kuwa huyu mzuri au wa kawaida. Lakini tunaweza kukubaliana kuwa kuna mwanamke akiangaliwa na watu watano kati yao watatu watasema ni mzuri ndio maana kumekuwa na mashindano mbalimbali kama miss Tanzania/duania, miss universe n.k.
Tofauti na mashindano haya ya kusaka warembo je hakuna uwezekano wa kuwa na warembo wengine wazuri zaidi nchini lakini hawajaonekana mbele ya kamera?

Muwe na weekend njema.
 
Hayo ni maneno ya kupeana faraja.

Wasichana/wanawake wabaya wapo na wazuri wapo.
 
Back
Top Bottom