Mwanamke mzuri, anajiremba lakini mchafu na hajui kupika

CHIBA One

JF-Expert Member
Nov 16, 2018
560
2,087
Ukiangalia kwa umakini kwa siku za sasa, kuna mambo yanashangaza sana, unakutana na demu Mkali sana, anajishaua sana, Code mixing nyingi za lugha lakini *hajui kupika* Hajui kazi yoyote zaidi ya kurefusha kucha na kuchat masaa 24.

Mawazo yake ni kutafta location za kupigia picha na kubinua makalio lakin always ni mtu wa kusema "bby lets go for dinner" tena anachagua maeneo ghali tu.. Ukimpa mchele apike utashangaa Hayo makande yanayopikwa..

Sjui tuwaite wa kishua au wapuuzi tu na wasiojua wajibu wao??? Mwanamke unaagizaje chips kwa boda boda unalipia same cost na bei ya chips na chakula kiko ndani? Dizaini hii anawezaje kulea mtoto Na kupikia wakwe zake? HALAFU UKIPIGA NAE STORY ANASEMA ANATAKA KUOLEWA NA MTU ANAYEJIELEWA.

Dizaini hii wakiliwa na kuachwa nao wanalaumu wanaume??
 
Teh teh teh teeeeeh!!
Tena umenikumbusha yule boda boda ananidai sikumlipa hela yake mchana.
 
Wapumbavu hao yaan huyo ni Kupiga fimbo za mabegan tuu
Wanatufanya tusioe tumekua play boy hadi tumekuwa kero sasa kumbe chanzo ni hao Chakubanga
 
Ndiyo maana siku hizi tunaenzi msemo wetu;
"Shake well before use"

Hapa unajaribu kila kona; tabia, ufundi kwa 6×6, na kupika pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom