Currentmeter
Member
- Jun 8, 2017
- 25
- 10
Naomba nikiri kwamba mi ni kijana wa miaka 29,sijaoa nahitaji mwanamke mwenye kuhitaji kuolewa,kama atakuwa muislamu itafaa zaid,sichagui kabila,umri niutakao asizid miaka 35,huduma zote za msing atapata kadri uwezo wang utakapukua unaweza!Elimu angalau iwe ya kidato cha nne!Karibun!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app