Mwanamke mwenye tatizo la uzazi anaweza kupata hedhi (menstrual period)?

iron woman

Senior Member
Apr 22, 2013
147
19
Habari!

Naomba kuuliza, eti mwanamke ambaye hana kizazi anaweza kupata menstrual period, akableed?
 
lugha la kusema hana kizazi mara nyingi humaanisha hana mfuko wa uzazi/uterus, sasa kama ndio hivyi basi uwezekano wa kupata menstruation upo kabisa ila sasa content ya vile vinavyotoka ndio itatofautiana kidogo na mtu aliye na kizazi.
 
sawa nimekuelewa asante sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom