Mwanamke mwenye sifa hizi anahitajika haraka

pharao

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
378
639
Habari, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 Ninaishi Dar Es Salaam.
Natafuta mwanamke mwenye sifa zifuatazo:

* Mrefu asiwe mfupi sana
* Awe na umri kati ya miaka 18 hadi 25
* Awe hajazaa
* Awe mweupe au maji ya kunde (Sihitaji Aliyejichubua)
* Asiwe mwembamba sana wala mnene sana
* Sichagui dini na nitaheshimu Imani yake ila dini yake isiwe sababu
ya kushindwa kufunga ndoa au kufanya mambo ya maendeleo kisa imani yake. NB:- Mimi ni mkristo
* Awe anajitambua
* Sichagui Elimu
* Asiwe Mchaga, au Mzaramo
* Asiwe mtu wa makundi

Kifupi kunihusu:

* Nina miaka 28
* Asili yangu ni kutoka Njombe
* Nimejiajiri kwenye kazi inayoweza kuniingizia zaidi ya Milioni 2 kwa mwezi
* Sina mtoto
* Ni mcheshi kwa mtu niliyemzoea
* Napenda kujua mambo mapya ya faida

Udhaifu wangu:

* Nina hasira za karibu
* Sio mtu wa kujichanganya sana na watu

Kwa aliye Interested anaweza kunicheki PM tuyajenge.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom