Mwanamke mwenye kipato na asiyenacho, yupi ni bora kwa maisha ya sasa?

Tabia ni tabia tu hata huyo asiye kuwa nayo siku akizifuma anaweza kuwa naye na dharau hivyo tafuta mwenye tabia nzuri over
 
Na hiyo ni nature ambayo wengi wanavunga hawajui...wanaume wapambane tuu kutafuta pesa na sio kulialia
Ndiyo maana wanashindwa majukumu na kuanza kulalama sijui wanawake wanafanya nini! Ukitambua majukumu yako unazani mke atasumbua wapi! Siku hizi kila mtu ndoa hizi
 
Hivi kati ya kuwa na mwanamke mwenye uwezo wa kutengeneza kipato chake mwenyewe ila hana heshima kivile, ana dharau yaani kukufokea haoni tabu na kuwa na mwanamke ambaye yeye fedha hana na uwezo wa kutengeneza fedha ni changamoto mpaka umuwezeshe kisawasawa ila kizuri chake ni kwamba anakuheshimu sana tu yaani hana nyodo au lugha mbovu zisizofaa.

Yupi ni mzuri kuoa kwa maisha haya ya saivi?
Katika hao uliowataja hapo juu hakuna hata mmoja wa kuoa.
mwanamke mzuri kuoa ni yule anayejitambua,awe na kipato
au asiwe na kipato kukibwa ajitambue kuwa kaolewa.
Soma Mithali 31:10-29 (Biblia) kwa ufafanuzi zaidi

Anayejitambua akiwa na kipato anakitumia
kuijenga ndoa yake na familia kwa ujumla.Humstili mmewe
hata kama yeye hana kipato, heshima ya mme iko pale pale.
Mke asiye na kipato kama hajitambui,ataishia kutumia vibaya
fedha ya mme wake na kuwatambia wanawake wengine
kwamba yeye ni babu kubwa na wao hoe hae na hii hata kama
anamheshimu mme wake lakini inaleta mahusiano mabaya na majirani.
Na kama wewe ni mme wa mke wa namna hiyo unaishia kuhama hama.
 
Binafsi ni heri uwe na mwanamke mwenye kipato mara nyingi wanawake wasio na kipato wanakuwa si waelewa tena pale unapotingwa na majukumu mbaya zaidi unapo kosa yeye hajiulizi umekosaje
Sasa hawa wasio kuwa na kipato ni wepesi sana kurubunika
 
Maisha magumu Mkuu! Chukua mwenye uwezo na hakikisha unampiga mimba mfululizo, dharau ataacha tu.
.......then usishangae siku akakuletea watoto bar twingine tunatambaa wakati huo unaangalia game ya Man City na Man U akakuambia kaa nao yeye anaenda kwenye kitchen party ya shoga ake na atachelewa kurudi so ukiona amechelewa sana ufunge mlango tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom