kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,234
Mwanamke wa kizibwamwe. Miaka 39 Annie Mpariwa ambaye amemnyonyesha mtoto wa jirani yake bila ruhusa amefungwa miaka 2 jela kwa kosa la kutaka kumwambukiza mtoto wa jirani yake HIV+. Kesi Imesomwa kwa muda wa miezi mitano baada ya mtoto kupimwa mara mbili na kukutwa HIV Negative.
Mpariwa amehukumiwa wiki iliyopita, endapo mtoto angekutwa positive hukumu yake ingekuwa kubwa sana. Mama wa mtoto wa miezi 14 anasema, alimuona mtoto wake akinyonyeshwa na jirani yake ilikuwa mbaya sana kwake.
Amesema jirani yake alimbeba mtoto wake kwa haraka pindi mtoto akiwa anacheza njee na kumficha chumbani kwake. Baada ya kumtafuta mtoto kwa muda kidogo, nilienda kugonga katika chumba cha Mpariwa na sukupata kujibiwa. Nikaamua kuchungulia kupitia upenyo wa dirishani, nikamuona Mpariwa akimnyonyesha mtoto wangu.
Nilishikwa na mshutuko sana . Baada kuona maziwa katika mdomo wa mtoto wangu nilikaribia kuzimia.
Hii inasikitisha sana. Kama wewe ndiye mzazi wa mtoto, nini ungefanya?
Source
TrendySturvs Blog!: Photo: HIV Positive Woman Arrested For Breastfeeding Neighbour's Baby