Mwanamke Mwenye Hedhi Anaweza Kuingia Katika Chumba Cha Kuswalia?

njia ya saada

JF-Expert Member
Sep 3, 2018
317
250
SWALI: Assalam aleykum warahamatullahi wabarakatu swali langu la leo ni kuwa hapa chuo naposoma waislamu tumejiunga na tumeanzisha chama cha kufundishana kuhusu Uislam, hapa hostel tunasehemu inaitwa prayer room.. sasa swali langu linauliza je mimi kama mwanamke naruhusiwa kuingia kwenye prayer room wakati nikiwa katika hedhi, pale napokutana na Waislamu wenzangu??
https://www.al-feqh.com/sw/mwanamke-mwenye-hedhi-anaweza-kuingia-katika-chumba-cha-kuswalia
islamic_diin_47217506_1940005349641382_3375524058821615627_n.jpg
 

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
2,987
2,000
Hizi dini hizi! Hivi Mungu anahangaika na damu ya hedhi, Mungu huyo mungu. Anahangaika na damu ya hedhi! dini hizi dini hizi!
Hedhi ni uchafu wa.... na sio mzuri kabisa, haya uwe umejisaidia usijifute au uwe umejipaka kinyesi je utaweza kwenda kukaa ndani ya chumba cha maombi
 

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,889
2,000
Hedhi ni uchafu wa.... na sio mzuri kabisa, haya uwe umejisaidia usijifute au uwe umejipaka kinyesi je utaweza kwenda kukaa ndani ya chumba cha maombi
Uchafu gani? Nipe difference kati ya damu ya hedhi na damu inayotoka kwenye kidole! Let us be more scientific to our talk.......

Is the discharge Harmful/toxic?
Unless a woman has a blood-borne illness, menstrual fluid is harmless. No toxins are released in menstrual flow, as this is a lining that must be pure and clean enough to have nurtured a baby. Menstrual fluid is no more dangerous than regular blood (source: Menstruation: Bleeding). Your organs release many secretions in the body, and your whole body has blood inside it too. If it was toxic or harmful, you would not be alive!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom