mwanamke/mwanaume yupi ambae anatamanisha kimapenzi au kutaka kuwa nae

Mama Big

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
488
7
Hivi nauliza mwanamke/mwanaume yupi ambae anatamanisha kimapenzi au kutaka kuwa nae
 
Hebu uliza kwa kiingereza. Sijakuelewa vema.

Hapa unazungumzia ushoga au?
 
Hivi nauliza mwanamke/mwanaume yupi ambae anatamanisha kimapenzi au kutaka kuwa nae

Naona leo mama uko busy kufanya comparison...th! th! th! the short answer is...it depends! na ukumbuke, beauty is in the eyes of the beholder!
 
This question its too general mimi binafsi i can have my own interest kwamba how should men look sex to me, kwa kweli sipendi vifua vikubwa!!!!!! may be wengine wanavipenda..........na wanaona kuvutiwa navyo.
 
At long last nimejua kumbe wewe ni SHE. Sasa unachakachua nini mpenzi?
 
Swali ni pana sana na limetawaliwa na hisia zaidi. Kimaumbile mwanaume na mwanamke wanatofautiana. Mwanaume anavutiwa zaidi kwa kuangalia/kuona lakini mwanamke kwa kawaida anavutiwa kwa kuguswa/hisia zaidi. Hivyo basi ili mwanamke atamani lazima kuwepo na kitu kitakachompa hisia. Lakini uzoefu unaonyesha jinsi mazingira yanavyobadilika tabia zinabadilika pia. Wote mwanaume na mwanamke wanaweza kuvutiwa kimapenzi baina yao
 
Wewe kama ni mwanaume unahisi ni mwanamke wa aina gani anakuvutia zaidi na kama wewe ni mwamke mwanaume yupi anakuvutia kimapenzi hilo ndilo lilikuwa swali langu
 
This question its too general mimi binafsi i can have my own interest kwamba how should men look sex to me, kwa kweli sipendi vifua vikubwa!!!!!! may be wengine wanavipenda..........na wanaona kuvutiwa navyo.

Kumbe wewe ni mwanamama la la lah
 
This question its too general mimi binafsi i can have my own interest kwamba how should men look sex to me, kwa kweli sipendi vifua vikubwa!!!!!! may be wengine wanavipenda..........na wanaona kuvutiwa navyo.
at long last ipi mtu kajiunga jana mkuu? au mnajuana ninyi?
 
Hivi nauliza mwanamke/mwanaume yupi ambae anatamanisha kimapenzi au kutaka kuwa nae
:doh::doh::doh::doh::doh::doh::A S 39::A S 39::A S 39::wacko::wacko::wacko::wacko::wacko::wacko::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea:2+2=22??-no...1+1=11\/????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom