mwanamke/mwanaume yupi ambae anatamanisha kimapenzi au kutaka kuwa nae

mimi natavutiwa na mwanaume mwenye range rover sports nyeusi
 
Mimi mwanamke anaenivutia awe mrefu,umbo la wastani,macho makubwa ya kusinzia mambo mengine sijali sana.
 
Mimi mwanamke anayenivutia ni Preta au wa mfano wake..:wink2::wink2:
 
Kuna siku moja tukiwa kwenye mataa ya morogoro rd/kawawa gari la upande wa kulia kulikuwa na mama mrembo ana bonge la benz kafunga vioo vijana wanaouza maji mmoja akasema gari zuri lakini huyu dada atakuwa amefanywa sana kulipata hata bure simtaki nikacheka sana wanavyofikiria,labda dada wawatu ana kazi nzuri au kanunuliwa na mumewe.
 
Wewe kama ni mwanaume unahisi ni mwanamke wa aina gani anakuvutia zaidi na kama wewe ni mwamke mwanaume yupi anakuvutia kimapenzi hilo ndilo lilikuwa swali langu

Mama big mimi sura na mbambataa, na uchangamfu uwanjani .......:smile: hebu wewe tuambie unatafuta wa ainagani? :bowl:
 
mbu mbona waingia mitini mkubwa chukua toto hilo si umemuonyesha mwenyewe bana mbona hizoo???hazifai bana mwenzio akuuliza kwa cheshii unayoooooo???:peace::peace:
...la la la! mie sie! ha ha ha!...
 
mi navutiwa na huyu

AuntEzekiel1.jpg
 
au bumunda lako tu! vingine havina hadhi ya kuitwa kitumbua........tatizo unakuja kuona wakati umefika too far, unaamua ngoja nimalize tu yaishe!

Mh naomba unifafanulie hapa baba hivi kuna kitumbua na bumunda mwe mbona celewi elewi hapa ufafanuzi kidogo kama hutajali
 
mwembamba ila sio saaaana, mrefu kiasi, hips kwa mbaaaali, mwenye nyele ndefu, inteligent, simple, mpole kiasi, asipende saaaana kuongea ongea badala yake anatumia muda mwingi kutafakari... mimi natangaza ndoa fasta.
 
Back
Top Bottom