MWANAMKE MNENE vs MWANAMKE MWEMBAMBA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MWANAMKE MNENE vs MWANAMKE MWEMBAMBA

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tabutupu, Oct 16, 2011.

 1. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,505
  Likes Received: 4,167
  Trophy Points: 280
  Kwa walio oa na wasio oa naomba leo iweni wawazi, japo mtatoboa siri za wenzi wenu mnao wapenda, najua watatuwia radhi kwani nahitaji kujua. Kuna tofauti ati kati ya hawa wawili, wengine eti sijui wembammba wanahasira kuliko wanene, no proof.

  Kuna mengi ambayo yanasemwa mitaani, lakini najua wewe msomaji unajua .


  Naomba mseme ukweli kuna raha gani kati ya hawa wawili kwenye ndoa??

  Tafadhali naomba nidhamu ama sivyo nitachagua kiranja.

  skinny_fat.jpg 600+pound+woman.JPEG
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,252
  Likes Received: 15,073
  Trophy Points: 280
  Jamani yamekuwa hayo?
   
 3. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hahaha Buji sema ni yupi hapo?
   
 4. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,505
  Likes Received: 4,167
  Trophy Points: 280
  anasubiri ajue mwelekeo wa upepo;
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,059
  Likes Received: 3,805
  Trophy Points: 280
  Kila mtu ana umbo linalomdatisha na anakuwa na sababu zake. Kwani wewe unapenda yupi kati ya hao?
   
 6. W

  Wandugu Masanja JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 1,535
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Tamu ya ngamia ni nundu, na tamu ya mua ni kifundo sasa utajibu wewe
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kuna watu huwa wanachanganyikiwa wakiona wanawake wanene!
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,220
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  hahaha,mwenzenu anaulizia habari ya kuwa na hasira w unaongelea kudata! mnawaza mrengo wa kushoto tu,kha!
  tabutupu,una mzani uniazime nijihukumu mwenewe?
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 280
  Kazi kweli kweli.
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Oct 16, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sijui kwa nini nyie guys hutuponda sie mabonge?? Sad.. Mnakosa busara... Na kuna unene na kunenepeana... Picha ulochagua hujatenda haki..
   
 11. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,505
  Likes Received: 4,167
  Trophy Points: 280
  du hapana nimesha haribu, sikujua mkwe upo??
   
 12. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #12
  Oct 16, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,187
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Wembamba wana faida maana mara nyingi hawali sana, pia ukinunua kitambaa cha kumshonea nguo inakuwa very economic, pia huhitaji kuweka kitanda chako chaga za 2x4, za 1x4 zinatosha, pia mkipigana ni rahisi kumdunda, ...
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  Oct 16, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160


  Lmao.......... Dah! Nimeipenda hii...
   
 14. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,505
  Likes Received: 4,167
  Trophy Points: 280
  hahahaha, we kweli vituko
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  Oct 16, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160

  Binti yangu usha mkosa hivo...
   
 16. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,505
  Likes Received: 4,167
  Trophy Points: 280
  Ni yupp upande gani?
   
 17. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Ninachojua mimi ni kuwa the beauty is in the eyes of the beholder
   
 18. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #18
  Oct 16, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,187
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  We mwembamba au mnene?
   
 19. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hahahahaaa, utamu? utamu upi unaongelea chief, watu tuanze kujimwaya mwaya?
   
 20. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133

  Lol.....hivi hata nyie wa humu jf bado mnapiga wake zenu??
   
Loading...