Mwanamke Mjamzito katika Tendo la ndoa.

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,337
Wakuu! Salama?

Naomba kuuliza kufanya mapenzi na mwanamke mjamzito inamadhara kwa yeye kiafya, je kama aina unaruhusiwa kufanya naye mapenzi mpaka miezi mingapi mwisho.

Pasipo matatizo kwake na mwanaume.
 
Haina madhara kama mama mjamzito hana complications zozote zile ziambatanazo na ujauzito...

Zaidi wakati wa ujauzito mwanamke au mwanaume hupata raha ya ngono kuliko wakati mwingine wowote.

Kuna baadhi ya wanawake ambao huwa hawana uwezo wa multiple orgasms nyakati wasizo na mimba, huweza kupata namna hii ya orgasms wakiwa wajawazito.
 
asante mshauri nasaha watu8
 
Last edited by a moderator:
Yes. If you’ve had a healthy pregnancy,
there’s no reason why you and your
partner can’t have sex. The thick mucus
plug that seals your cervix helps to guard
your baby against infection. The amniotic
sac and the strong muscles of your uterus
(womb) also keep your baby safe.
Your partner's penis won’t damage your
baby in any way while you're having sex.
You may find your baby moves around a
bit after you've had an orgasm. It's
nothing to worry about. Your baby's
reacting to the pounding of your heart. He
doesn't know what's happening or feel any
discomfort.
You may have heard that having sex can
bring on labour before your baby is ready
to be born. This is not true, as long as you
have had a straightforward pregnancy.
If your body is not ready to go into
labour, having sex will not cause you to
have a premature birth . In fact, it seems
that if you have regular sex during
pregnancy you may be less likely to give
birth prematurely!
There are, however, some circumstances
where you may have to be careful about
having sex.
If you’ve had any bleeding or spotting in
early pregnancy, your doctor may advise
you not to have sex until you reach 14
weeks. Your doctor may say it's best not
to have sex for the rest of your pregnancy
if you have:
a history of cervical weakness
a low-lying placenta (placenta praevia)
had heavy bleeding
had a vaginal infection
 
wakuu, mbona nilipata nyepesi nyepesi kwamba endapo utamgegeda mwanamama mwenye mimba unasababisha mtoto anazaliwa akiwa na nywele kama kipara?

zaidi zaidi, hii humuathiri mpaka hata kwenye kukua kwake, yani mtoto mdogo lakini anakuwa na asili ya kipara!

je kuna ukweli wowote juu ya hili?
 
wakuu! Salama, naomba kuuliza kufanya mapenzi na mwanamke mjamzito inamadhara kwa yeye kiafya, je kama aina unaruhusiwa kufanya naye mapenzi mpaka miezi mingapi mwisho... Pasipo matatizo kwake na mwanaume.

up to 8 months kama mama anahtaji, ila uwe makin na sex style uslalie tumbo pimbi wewe
 
wakuu, mbona nilipata nyepesi nyepesi kwamba endapo utamgegeda mwanamama mwenye mimba unasababisha mtoto anazaliwa akiwa na nywele kama kipara?

zaidi zaidi, hii humuathiri mpaka hata kwenye kukua kwake, yani mtoto mdogo lakini anakuwa na asili ya kipara!

je kuna ukweli wowote juu ya hili?

iman potofu
 
Wengine hufanya mpaka few hours before giving birth kama hakuna complications na Dr hajatia neno kukataza kufanya mapenzi. Humsaidia mjamzito wakati wa kujifungua.
 
Inategemea umesikia kutoka kwa mtu gani...ila kitaalamu hakuna hiyo habari

wakuu, mbona nilipata nyepesi nyepesi kwamba endapo utamgegeda mwanamama mwenye mimba unasababisha mtoto anazaliwa akiwa na nywele kama kipara?

zaidi zaidi, hii humuathiri mpaka hata kwenye kukua kwake, yani mtoto mdogo lakini anakuwa na asili ya kipara!

je kuna ukweli wowote juu ya hili?
 
wakuu! Salama, naomba kuuliza kufanya mapenzi na mwanamke mjamzito inamadhara kwa yeye kiafya, je kama aina unaruhusiwa kufanya naye mapenzi mpaka miezi mingapi mwisho... Pasipo matatizo kwake na mwanaume.
Mimi Wangu Tokea Mimba Imetinga hadi Siku anapata Uchungu wa Kujifungua Nilikuwa NAMKANYAGA Tu na Amejifungua Toto Zuri Kweli TENA La Kiume Lina Afya na Halina Tatizo Lolote. Ila Msiige Kwani Wanawake Hawafanani na Wanatofautiana Kwa Mengi sana na Haswa ktk Suala Zima la Kufanya Mapenzi na NILIKUWA NAMKANYAGA KWA SPIDI ILE ILE YA Supersonic Jet bila Kuremba.
 
mimi wangu tokea mimba imetinga hadi siku anapata uchungu wa kujifungua nilikuwa namkanyaga tu na amejifungua toto zuri kweli tena la kiume lina afya na halina tatizo lolote. Ila msiige kwani wanawake hawafanani na wanatofautiana kwa mengi sana na haswa ktk suala zima la kufanya mapenzi na nilikuwa namkanyaga kwa spidi ile ile ya supersonic jet bila kuremba.

hata mm nilifanya hivyo but nilipunguza spidi na cku za kukutana.
 
asante mkuu nimekusoma vizuri
Haina madhara kama mama mjamzito hana complications zozote zile ziambatanazo na ujauzito...

Zaidi wakati wa ujauzito mwanamke au mwanaume hupata raha ya ngono kuliko wakati mwingine wowote.

Kuna baadhi ya wanawake ambao huwa hawana uwezo wa multiple orgasms nyakati wasizo na mimba, huweza kupata namna hii ya orgasms wakiwa wajawazito.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom