Mwanamke miaka 30-34,ambaye ana nia na mipango ya kuolewa 2020

Nilitaka nije PM ila nikakumbuka kuna mlevi mmoja aliniambia 'when the deal is too good, think twice'

Sent using Jamii Forums mobile app

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, hahaha hapa ndio nakujaga kuelewa kwamba ile kiburi tunakuwaga nayo inapendwa sana na wanawake, ukiwa mwema sana utapata micharuko ila ukiwa mkorofi mkorofi kidogo unapata mwanamke mwema kabisa 🤣🤣🤣🤣 yan mambo yanaenda kinyume nyume daaah


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
, hahaha hapa ndio nakujaga kuelewa kwamba ile kiburi tunakuwaga nayo inapendwa sana na wanawake, ukiwa mwema sana utapata micharuko ila ukiwa mkorofi mkorofi kidogo unapata mwanamke mwema kabisa yan mambo yanaenda kinyume nyume daaah


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndio inakuwaga hivyo, we unadhani mkikutana wote micharuko itakuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom