Mwanamke kupata hedhi wakati ana mimba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke kupata hedhi wakati ana mimba

Discussion in 'JF Doctor' started by Gamaha, Apr 14, 2012.

 1. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 755
  Trophy Points: 280
  Wakuu ma Dr hebu nisaidieni hii kitu inawezekana kweli duniani, kwamba ana mimba halafu bado anapata siku zake yaani hedhi. kwa sayansi niliyosoma form three naona inakataa. nijuzeni tafadhali.
   
 2. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Mkuu huwezi kupata hedhi wakati una mimba hii inaweza ikawa vaginal breeding na sio hedhi.., ila chonde chonde nakushauri kumuona daktari sababu kama kweli ni hedhi hii ni sign ya miscarriage au mimba kuharibika.., for more information angalia hapo chini nimetoa extract online

   
 3. k

  kisukari JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,766
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  jee hiyo hedhi ikoje?ni nyingi au kidogo?
   
 4. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,071
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  its not normal, ila huwa inatokea, na kama inatokea something is wrong somewhere either ni dalili za miscarriage au complications za mimba

  kukusaidia ningependa kujua yafuatayo
  je ni mimba ya miezi mingapi?
  na je damu inatoka nzito mabonge au nyepesi?
  na je damu ni nyingi?

  kama damu ni nzito ya mabonge ni bora kuwahi hospitali maana hiyo ni dalili mbaya na hata kama ni nyepesi nashauri muende hospitali

  kingine kikubwa zaidi bed rest ni muhimu kwa mwanamke mwenye dalili hizo
   
 5. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2012
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 755
  Trophy Points: 280
  Ni kidogo anasema kisukari
   
 6. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2012
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 755
  Trophy Points: 280
  ni kodogo na kwa sasa ni miezi mitatu.
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,610
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni kawaida aila wataalam wanasema asio nzuri sana hasa inapoendelea mwezi wa nne
  labda nikupe kichekesho mwanangu wa kwanza my sweet baby faith,,atukujua mama yake ana mimba
  alikuwa mpenzi mkubwa wa nyama za afrika sana ..na chips kuku wa kienyeji an mengineyo....wiki mbili akawa anatema mate ovyo nkamwambia hee mbona hivi akasema ata mie nashangaa akasema siku fulan tym ya kubleed tukasubiri ikamwaga ila ikawa kaama tonge kadgo cha pilau kwenye msiba

  baada ya hapo tukaenda afrikasana nikamwambia yawezekana minyoo nikapita palestina nikanunua zantel mwaya..tena mbli na yangu..akaenda kula alipomaliza akataka kunywa nkamwambiaa no roho inakataa ...kesho yake nikamwambia twende hospitala kwenda kupima mimba ..baada ya siku tatu tukaenda kwa specialist maana atukuelewa akatuelekeza akasema ana mimba ya miezi 3 ..mwaya na zantel tungekunywa ingekurupuka ilipokuwa sijui ningesemaje ..same to 2baby mpaka ana miezi miwili ana toa tonge ikanaishtua nikaend kupima ikaonekana tukaanza malezi y mimbasamaki kwa wingi na mengineeyo
  amwone dk lakini akiona inanendelea
  natangaza ulinzi wa yesu juu mtoto in jesus name
   
Loading...