Mwanamke kumuambia mwanaume anavyotongozwa

Wakitongozwa na ma sponsor wa ukweli hawasemi
sanasana..wataweka status tu watsaap..'thank God'

ukiona wanakusimulia ujue wametongozwa na vimeo
Mwanamke ndivyo alivyo. Na zaidi hawezi kukwambia Yule aliyemtongoza akamkong'oli atakwambia wale wooote aliowacholea. Kamwe hatakwambia fulani alinitongoza nikamkubali na akapita na mimi.Ng'ooo. Ila wa upande wa kulee ng'ambo ya kwanza ni viceversa
 
Kuna hili suala la wanawake kutongozwa kisha kumwambia mwanaume kuwa ametongozwa na flani na ameahidiwa kitu gani!
Binafsi limenitokea mara kadhaa, kuna wanawake ambao ni marafiki tu wa kawaida ninakuwa nao wamekuwa wakinieleza pale wanapotokewa na wanaume!
Takribani asilimia kubwa hata kama ni marafiki wapya wa kike nimekutana na hili jambo, hivi nia kubwa inakuwa ni nini?
Halafu imekuwa kwamba yule anayetongozwa anasema amemkataa huyo aliyemtongoza, na anakuwa anamponda!
Sasa humu bila shaka kuna wenye tabia hiyo, hivi huwa nia ya mwanamke kutongozwa na kimwambia mwanaume ambaye hata siyo mume/mchumba au hajawahi kukutaka ni nini?
Wanaume mliokutana na hili suala kama mpo mlichukuliaje?
Ukiona hivyo ujue wewe hujakamilika wanakuona kama mwenzao mwisho utavishwa shanga kiunoni
 
Mm nnavojua mwanamke akikutamkia kuna vitu viwil apo,kitu cha kwanza,either anakupenda so anaona kila siku humtongoz,so anakuadisia anavotongozwa na kukataa kuonesha msimamo wake kua hapatikani kiovyoovyo ,na apo anamaanisha kua ww upo nae lkn unashindwa kumtongoza na mara nyng hutokea akiwa amekupenda lkn anashindwa kukutamkia so anatumia mbinu hio kwa kutarajia utamuanza,kitu cha pili hua anakuchukulia kama rafiki yake wa karibu ambae amekuzoea so kila kinachomtokea anaamua kukwambia bila kificho
 
Na kwanza inaelekea hujaielewa picha ningekua mm hao wote wanaoleta vihabar vya kutongozwa ningesha wegegeda
 
nishauri wakuu tuwe tunapunguza makali ya maneno aisee... wengine wanakuja na ishu seriously sasa tukiwa na majibu ya chooni kama haya hatutayajenga humu!
JF ina majibu ya aina zote unachotakiwa na kupembua upi mchele yapi machuya
 
mwanaume kidume na huru kama mimi kwanza hua sisikilizi sound za kitoto kama hizo,sasa mbona aliyekuvunja bikra hujawahi niambia leo unaniambia ili iweje/ wanawake wanajifanyaga wana akili sana wale ambao hajawapenda na kuwatosa ndio anakuonyesha text na mitongozo yao,ila wale walio mgegeda wala hakwambii,kwanza unaniambia ili iweje?
 
Jiongeze utaendelea kuitwa shemeji hivyo hivyo... a.k.a mshikilia mapembe...
 
Huyo anayekuambia ni kweli hajaridhishwa na aliyemuaproach ndio maana kapata nguvu ya kusema ila angekuwa amemuelewa kuna mawili asikuambie au aje kwako kama anataka ushauri wa kumsaidia rafiki yake.
 
Sharing is caring, maana yake wako comfortable wanapokuwa na wewe, wakati mwingine huenda wanajisikia wana kitu moyoni na wanataka ku share ni mtu fulani wanayemuamini ambaye wako confortable kuwa naye. Nadhani ni jambo jema kwamba umejenga uaminifu kwao kiasi kwamba wanajiona hakuna tatizo kukuambia kinachowatokea katika maisha yao.
 
Kuna hili suala la wanawake kutongozwa kisha kumwambia mwanaume kuwa ametongozwa na flani na ameahidiwa kitu gani!
Binafsi limenitokea mara kadhaa, kuna wanawake ambao ni marafiki tu wa kawaida ninakuwa nao wamekuwa wakinieleza pale wanapotokewa na wanaume!
Takribani asilimia kubwa hata kama ni marafiki wapya wa kike nimekutana na hili jambo, hivi nia kubwa inakuwa ni nini?
Halafu imekuwa kwamba yule anayetongozwa anasema amemkataa huyo aliyemtongoza, na anakuwa anamponda!
Sasa humu bila shaka kuna wenye tabia hiyo, hivi huwa nia ya mwanamke kutongozwa na kimwambia mwanaume ambaye hata siyo mume/mchumba au hajawahi kukutaka ni nini?
Wanaume mliokutana na hili suala kama mpo mlichukuliaje?
Inakuwaje mwanaume unakuwa ña urafiki ña wanawake au vibinti hizo ni daili za ushoga, wameshakuone ww ni shoga yao ipo siku watakuvalisha Dela ndio maña wakuletea umbea umbea, achana ña mambo ya ushilawadu
 
Ushoga hapana!
Urafiki mabint some time unakwepo ili kusocialize baadhi ya mambo!
Ila mambo ya namna hiyo yapo tu atakuambia, na unaweza kubaki kumsikiliza tu!
Sasa umeleta humu la nn kama unabaki kumsikiliza kwako lina mantika acha hyo mambo kabisa piga kofi kabisa atakae kuletea hzo habar mkeo,mchumba, mpenz wako ndo wanapaswa kukwambia hzo mambo
 
Kiukweli hata kama mpenzi wako kakwambia flan kamtongoza jua huyo hajampenda aliempenda hawezi kwambia, au ogopa sana mwananke anapokwambia flan namchukia out of no where chunguza sana kuna kitu hapo
 
Back
Top Bottom