Fresh tu na yeye ana hisia piaPeople
Em tuwekane sawa apa
Kuna ubaya kwa mtoto wa kike kumtongozwa wa kiume
Kwa namna yoyote ile?
Na mnamchukuliaje uyo mwanamke ?
Mteremko sioKama anakidhi vigezo vyako ni raha sana
Vyovyote vile iwavyo. Kama kajileta na ni aina ile ninayotaka, Mungu akupe nini? Gunia la chawa?Mteremko sio
Dah... Unamuoa au Unaolewa?Nikimpata wa ivo namuoa.
Tatizo lao wakikataliwa wanajenga bifu..mi huwa siwaelewi!!Mi sioni tatizo. Kwani wao mbona huwa tunawatongoza na wakati mwingine wanatukataa. Hiyo ni process ya kutafuta hata kama akikataliwa. Je wale unaowatongoza huwa una imani kwamba wanakupenda kweli ma si baada ya ushawishi wa aina mbalimbali. Labda huyu aliye kuwa na courage ya kukutamkia anaweza kuwa ndiye mwenye upendo wa kweli
She will marry me. Kizungu hakinaga ubabaishaji.Dah... Unamuoa au Unaolewa?
Ni raha sana na hasa kama anakidhi vigezo vyangu. Ni dalili ya mwanamke anayejiamini, anayejua anataka nini. Kati ya sifa ninazopenda mwanamke awe nazo.Hebu tusikie toka kwenu wanaume unajiskiaje mwanamke anapokutongoza labda?
Kumbe kuna fursa ha ha haNikimpata wa ivo namuoa.
Nitongozee pleaseHebu tusikie toka kwenu wanaume unajiskiaje mwanamke anapokutongoza labda?
Usha tongoza wangap?kawaida tu mbona
wtatu halafu wote nimeshawaacha walipo ishiwaUsha tongoza wangap?
asantewtatu halafu wote nimeshawaacha walipo ishiwa
Dah...achana na lugha kwanza.. . Unajua maana ya kuoa au kuolewa? Unajua maana ya unyumba? tendo la ndoa?...ngono? ...zinaa?She will marry me. Kizungu hakinaga ubabaishaji.
Dah.. Siyo kawaida... Ubavu mmoja wa kushoto ndiyo ucontrol mwili Mzima? Haiwezekanikawaida tu mbona