Mwanamke unampaje mwanaume namba kisha baadae akikutongoza unamkataa?

Kumbe exchanging numbers is an automatic ticket to getting laid?

No wonder mnasemaga women are complicated creatures. To begin with huenda by appearance you seemed like a nice decent guy. Ila ukaja ku boogie kwenye kuji express. Ukafeli.

Kingine, nyie mnatu approach labda lengo lenu is just pleasure wakati sisi tunaiona gateway to friendship, connections etc. Kumbuka hata networking huwa inaanza by mere communication.

How you approach a woman tells alot about how she will respond to you.
Nifundishe kuapproach a woman bas
 
Na yeye kwa mfumo huo wa kutoa namba atakua na marafiki wangap wa kiume na wa kazi gani?
Sidhani kama kuna limit ya marafiki duniani ni mtu wenyewe kujua watakufaa au la, marafiki wengi wanafaida nyingi sana bila kusahau chenye faida hakikosi hasara
 
Haya ni mawazo mgando sio wanaume wote tupo hivyo mfano mm sio kila mwanamke ninayemuomba namba naitaji kumtongoza wengne nahitaji tuwe marafiki wa kushauriana na kubadilishana mawazo tu
 
Hii ni tabia iliyozoeleka sasa hivi japo sidhani kama iko sawa,, mwanamke unamuomba namba anakupa in good faith tena bila kuvutana, sijui anakua anafikiri utakuja umpigie kumwambia maswala ya kazi, kufanya biashara pamoja au kwenda kumfanyia shoping wit no reason,,, mwishoni unakuja kumfungukia ya moyoni anakutolea mbavuni


Si ungwana hata kidogo na sijui kwanini mnafanya hivo! kama ushahisi utatokewa kwanini utoe namba?

Na kama umetoa namba ukijua utatokewa kwanini mwishoni uzingue? kuweni wastaarabu msijifanye wastaarabu,, mwanaume mpaka akuombe namba kuna mawili, kakutamani au kakupenda kweli, sa ni jui yako kwenda kumskiza na kuchagua umalize tamaa yake au uunganishe upendo uwe kitu kizima
Zena
 
Back
Top Bottom