Mwanamke kumleta nyumbani mwanaume waliosoma nae, hii imekaaje?

Story haishangazi sn, ila unalazimisha kuifanya ishangaze kwa kusisitiza kwamba "anamsindikiza wewe upo ndani". Well, nadhani ww hujaoa, ila kwa wanwake wengi walioolewa na xio vicheche, lazma atakwambia tu kwamba mgeni anataka kutoka, ili kukuondoa wasiwasi na yy kujiweka safe side kwa maana ya kwmb, kama unahisi vibaya unaweza kutoka pia mkamsindikiza wote, au umruhusu amsindikize yeye peke yake.
 
Kwani kama unampenda mkeo si utamsindikiza? Na mazungumzo na huyo classmate wake si unatakiwa uyashiriki pia ili hata kama ni vipi ujenge urafiki na huyo classmate (wakati unachunguza)?
 
Hii imekaaje mkeo kumleta mtu waliosoma nae mwanaume nyumbani kwako alafu unafika nyumbani anakutambulisha huyu nimesoma nae.

Kama ni wewe unalipokeaje alafu ni usiku na anmshindikiza wewe upo ndani itakua kwenye hali gani na utafanyaje.
Unatulia tu mkuu baada ya wiki nawe unaleta mwanamke uliye soma naye akutembelee weekend mshinde mle na lunch nyumbani then unamsindikiza jioni yake!
 
Kawaida hio kwani kuna kosa gani?kwani mkeo ulimkuta anaishi dunia ya peke yake mkuu?
Usipaniki!...
 
Ni kawaida sana mbona, akitaka kuchepukaa wala hutakaa ujue. Acha mawazo hasi
 
Back
Top Bottom