Mkuu acha kumchonganisha jamaaSometimes yes, sometimes no.
Unatulia tu mkuu baada ya wiki nawe unaleta mwanamke uliye soma naye akutembelee weekend mshinde mle na lunch nyumbani then unamsindikiza jioni yake!Hii imekaaje mkeo kumleta mtu waliosoma nae mwanaume nyumbani kwako alafu unafika nyumbani anakutambulisha huyu nimesoma nae.
Kama ni wewe unalipokeaje alafu ni usiku na anmshindikiza wewe upo ndani itakua kwenye hali gani na utafanyaje.