Mwanamke kumleta nyumbani mwanaume waliosoma nae, hii imekaaje?

Inategemea na kipindi gani cha masomo, ikiwa ni miaka hii kuanzia elf 2 hapo wanakulana hao maana sikuhizi vyuo fashion ni kulana tu.
 
Du! Kwanz mwanaume ni lazima ujisimamie no marufuku mkeo kuja na mwanaume yeyo ambae sio ndg yako hat walibatizwa wote..au tembeza mfumo Duke I'll nyumba iwe na nidhamu.
 
Ile anamalizia tu "... nimesoma nae" nakunja sura na kusema, "naingia chumbani nikirudi nisimkute." nazama chumban naishia kugonganisha vitu kwa nguvu halafu narudi nilipowaacha.
 
asante ila haya yote nayajua.
nan kakwambia watu wa swaga ni wasaf? unaweza uone mtu kapigilia nguo bei mbaya ila akivua unashangaa.

nikwambie ukweli bora nipate maskini lakini ambae ni msafi, kama ni pesa tutatafuta tu hivi unajua kuna watu maskini ila ukiona alivyo msafi unashangaa?

unafikiri nimeona wachache? staki kudanganya moyo wangu au kuwafurahisha watu ninachokitaka ni mwanaume msafiii mengine nitavumilia. hata akikosa vigezo vyote akawa na hiki kimoja basi nitavuta hisia na trust me nitampenda. no matter what.
hata akiwa na Nguo moja ila hawezi kuivaa bila kuinyoosha hata na pasi ya mkaa mm nitaridhika, akicheka meno yake ni masafi sina wasiwasi kumkiss at anytime. spending kuigiza mwishowe niwakodelee macho wengine
Follow your heart my dear.
 
Akunashida shidainakuja walikuanamahusiano ganimwanzo kabla hujamuoa sasa ilikufahamu nikuwa mpole nakumtafuta classmate wake mwingine iliumhoji then utafahamu ilahuomchezo hautaki hasira mkarimu classmate wamkeo iliajue ww boya then utajuamengi
 
Back
Top Bottom