Mwanamke 'kumhonga' Mwanamme . . .

napenda both ways lakini iwe sincere

ila sasa mie nahonga chalk, kuni, kidumu cha maji, mfagio tu, maana ni mwalimu wa shule ya msingi.

Fisadi mkubwa tu both ways...Vipi wewe?ama we mpinga fisadi?
 
napenda both ways lakini iwe sincere

ila sasa mie nahonga chalk, kuni, kidumu cha maji, mfagio tu, maana ni mwalimu wa shule ya msingi.

Pouwa tu, as you said, as long as there's sincerity and ofcourse above all from your heart.Kuna zawadi ambazo unapenda specifically?
 
sina kitu specifically, chochote tu.

Ila usiniletee maua siku ya valentine au nikipata kitoto kichanga.

Bora niletee nyama, ndizi mshare, mchele na aina hiyo niongeze shavu .

Pouwa tu, as you said, as long as there's sincerity and ofcourse above all from your heart.Kuna zawadi ambazo unapenda specifically?
 
Ka kupewa vijizawadi ni kuhongwa basi mie huwa najisikia sana kufanyiwa hivo! Mana hiyo ndo chachu ya mapenzi,

Kuhonga kama navoelewa ni kutumia ulchonacho kumconvince mwingine, na ka kuna Hali ya aina hiyo kwenye mapenzi ujue huko ni kuchunana na sio mapenzi Tena! Tccchaoooooo!
 
sina kitu specifically, chochote tu.

Ila usiniletee maua siku ya valentine au nikipata kitoto kichanga.

Bora niletee nyama, ndizi mshare, mchele na aina hiyo niongeze shavu .
We binti una vituko basi tu lol!ngoja niangalie utaratibu wa kupanda migomba ya ndizi mshale hapa nilipo.Hata valentine unataka ndizi?usijali,utapata ndizi kama ndo unapenda.Kwani shule unayofundisha iko kijijini?
 
Back
Top Bottom