Mwanamke 'kumhonga' Mwanamme . . .

Kani hayo mambo anayafanya hadharani mpk aogope macho ya watu?

Kama ni hivyo mfano wako shopping mall flan ivi, kwann mdada asimpe hela mwanaume wakiwa nyumbani, afu wakifika shopping mwanaume ndo awe analipa kama zake?

Sasa kuna tofauti gani kupewa hela mkiwa nyumbani ili wewe ukazitoe mbele za watu?
Huoni kama ni 'inferiority' ya hali ya juu sana?

Unamdanganya nani? wauzaji wa mall? wanakujua hata?

Mie nadhani mwenye hela hujulikana tu kati ya wawili

Mwanaume kuhongwa ni noumer, kama mwanamke una kipato kikubwa ni bora umfungulie hata kabiashara huyo mwanaume nae akawa mtafutaji kuliko kuishia kumnunulia pamba na misosi. Jamii siku zote huwachukulia wananiume kama watafutaji hivyo inapotokea mtoto wa kiume anasubiri kuletewa heshima inashuka. Pamoja na hayo, si vizuri kuishi kwa kuangalia macho ya watu. Watu waishi wapendavyo kwa namna ambavyo watafurahia. Kama kuhonga kunanogesha penzi, hakuna sababu ya kuacha kisa jamii itaonaje!

Sasa kama kumnunulia shati ni nongwa sembuse kumpa mtaji?
Si ndio utaonekana unamNUNUA kabisa, itaonekana kama limbata live.
 
Kwanza definition ya kuhonga nadhani ni ngumu sana.

Ila mtazamo wangu, 'kuhonga' as you put it, ama kumnunulia mwenza shati, soksi hata suit na simu haihitaji uwe umemzidi kipato. Kuna watu wana a 'giving heart'. Na haijalishi kama ni kitu cha tshs 500 ama kupika maandazi matamu na kumpelekea mpenzio. Kama unampenda mtu automatikale ukiona hata shati zuri unalipatia picha lilivyomkaa na unaamua kumnunulia.

Mie nahonga sana kama hiyo ndo definition ya kuhonga aisee. Huna kakako kimeo kimeo hivi yuko pending?[/
QUOTE]

Mhhhh! :)

Last edited by a moderator:
kidogo tu bana mi nipo simple mbona? hata hug tu

Thank you Smile, sijaelewa upo simple kivipi? But.....
white-i-love-hugs-by-wam-baby-shirts_design.png
 
Last edited by a moderator:
Du,mwanaume anapohonga,mara nying anataka 2nda huyo,penz zaid hakuna kingine lakin huumia zaid ackiapo dem nae anahonga...hapo utasababisha majanga.
 
Sioni mbaya Kama mpenzi wake hana na wewe mambo safi why not, huko sio Juno ga Bali unataka apendeza na awe na hadhi Kama yako au hata awe afadhali kidogo...
 
mimi nataka kuhonga ila DINI INANIKATAZA

since jukumu langu ni kuzaa kwa uchungu basi jukumu lake ni KUNIHONGA in a form of kunitunza,kunilisha na kunivisha...na km atujaoana bas tukienda out alipe yeye bili yooooooooooooootemie akhukimyaaaaa ata km nina mijipesa ya kutosha

mimi akishanitia mimba atansaidia kutema mate
atansaidia ku push?
atansaidia kunyonyesha?

akhuu babu kila mtu achukue jukumu lake km amambvyo awez toa msaada kwenye uanamke wangu na swaga zake esp into mimba na kuzaa bas nayeye abebe tu majukumu yake

km kusoma yes tumesoma wotena usawa nahuitaji lakin isje ikawa unataka usawa wa nkusaidie majukumu apo nooo cz u wont b able kunsaidia kwenye majukumu yangu

my take:
mungu alishatoa specilization na division of labpur sa iweje nyie waume wa zama izi mwataka kuvunja utaratibu?
nan aliyewaloga?
bas nawaasa eny waume kuwen imara kunako majukumu yenu na muyatende mpaswayo kutenda pasipo lalamo lolote

its me....MWANAMKE KAMILI MWENYE KUZINGATIA KANUNI....espe zinazogusa dinari hah ahah...raha jaman...umenuna mwenyewe lione...nkuonge ili iweje?
ukiongwa thats ushahasiwa....ur no longer a man...et mwataka kulelewa siku iz ahh...ata kutongoza mpk akuchunguze kwanza una nini ndo aje akutongoze ahh wanaume wa siku iz weng wao hawana tofaut na fenicha...

Si mlilia nyie Beijing...
 
mimi nataka kuhonga ila DINI INANIKATAZA

since jukumu langu ni kuzaa kwa uchungu basi jukumu lake ni KUNIHONGA in a form of kunitunza,kunilisha na kunivisha...na km atujaoana bas tukienda out alipe yeye bili yooooooooooooootemie akhukimyaaaaa ata km nina mijipesa ya kutosha

mimi akishanitia mimba atansaidia kutema mate
atansaidia ku push?
atansaidia kunyonyesha?

akhuu babu kila mtu achukue jukumu
lake km amambvyo awez toa msaada kwenye uanamke wangu na swaga zake esp into mimba na kuzaa bas nayeye abebe tu majukumu yake

km kusoma yes tumesoma wotena usawa nahuitaji lakin isje ikawa unataka usawa wa nkusaidie majukumu apo nooo cz u wont b able kunsaidia kwenye majukumu yangu

my take:
mungu alishatoa specilization na division of labpur sa iweje nyie waume wa zama izi mwataka kuvunja utaratibu?
nan aliyewaloga?

bas nawaasa eny waume kuwen imara kunako majukumu yenu na muyatende mpaswayo kutenda pasipo lalamo lolote

its me....MWANAMKE KAMILI MWENYE KUZINGATIA KANUNI....espe zinazogusa dinari hah ahah...raha jaman...umenuna mwenyewe lione...nkuonge ili iweje?
ukiongwa thats ushahasiwa....ur no longer a man...et mwataka kulelewa siku iz ahh...ata kutongoza mpk akuchunguze kwanza una nini ndo aje akutongoze ahh wanaume wa siku iz weng wao hawana tofaut na fenicha...

Mhhhh! Rose1980!!! Haya bana!!!!

Last edited by a moderator:
Napokea tu. Ila zisiwe zawadi zenye fahari kubwa sana kiasi kwamba niaonekana nalelewa kama yule kinyozi mkongo mtaani kwetu. The most important thing for me is to feel comfortable, her financial comfort should not make me feel poor. Nikianza kujiskia hivo nasepa, full stop!
 
Dah, kumbe inaweza kufanya ukajisikia 'poor'

Kwani kabla ya kuingia kwenye mahusiano si uliona kabisa anakupiga bao kwa mahela?

Kinachonitatiza hapa nikuwa
Huwa inaonekana sawa mwanamke kutoa vizawadi pale mwanamme anapokuwa na kipato kuliko mwanamke.

Lakini inapokuwa mwanamke ana kipato kuliko mwanamme hapo ndo utata huanza
huonekana kama mwanamke ananunua penzi.

Kwa hiyo, si halali mwanamke kumhonga mwanamme anapomzidi kipato?
kwa kigezo chochote ni halali tatizo hapa wanaume walijipa utawala usio ridhaa kwamba wao ndo kila kitu sasa dunia ya leo inapokea mapinduzi katika nyanja nyingi mapenzi yakiwemo.ni kama uongozi wa nchi aliyepo madarakani anaona kama ameumbwa kutawala kumbe kila zama ina tabia na mienendo yake.bila kusahau wivu na woga unaosababishwa na kukosa kujiamini.kama sio halali ni kwanini vijiweni na mitaani wanaongezeka wanaume na wavulana wanaotaka kulelewa.kama unampa mchumba,bf,mume mpe kwa roho safi.hataki anaacha.
 
cjawahi kuhonga,wala cjawai kuhongwa zaid napenda kutoa ki2 kwa mpenzi wangu bila kuwa na na matarajio ya ki2 chochote kutoka kwake zaid ya upendo wake kwangu ambao upo naturaly bila ata ya kuho...pia cpend m2 wa 3 ajue nimempa nn mpenzi wangu coz haiwahusu.
 
Dah, kumbe inaweza kufanya ukajisikia 'poor'

Kwani kabla ya kuingia kwenye mahusiano si uliona kabisa anakupiga bao kwa mahela?
Mi nilidhani tunazungumzia vijizawadi vya kawaida vya hapa na pale, mimi nampa na yeye ananipa. Kama alikuja kwa gia hiyo hanipati! Imagine wewe unamnunulia earings nzuri tu za shanga za kimaasai yeye anakupa a Tissot watch, 1990 collection vintage... wapi na wapi? mara moja sawa. Next time wewe unampeleka diner out yeye anakupeleka a week in Seychelles. Hapo lazima uanze kuona hamlingani, her financial wealth will make me feel uncomfortable. Mara ya tatu anakualika kwenye party ya rafiki zake, wote wana financial status yake, wanaongelea masafari zao US na UK wakati mimi ile ya Seychelles ndio ilikua mara yangu ya kwanza kutoka bara, hata zenj sijawahi kufika. Hapo hata kama mengine tunapatana, itabidi tuachane tu, nikatafute yule nitakae kua nae comfortable.
 
Dah! So sad lol

Anyway, uhuru wako aisee.

hapa pagumu sana.
Umuhimu wa kuwa na mwenza mnae fanana kidogo status zenu ndio hapo una onekana lasivyo kila siku utajiona mnyonge sana.

Hapo kwa hayo mazingira mwanaume lazima nijione mnyonge sana hata kama si nyanyaswi.
 
Back
Top Bottom