Mwanamke 'kumhonga' Mwanamme . . .

mjue kitu kimoja wanaume vitu vingi huwa wanafanya for love ,but wanawake hatupo hivo...

mmh, hivi kumbe wanaume wako mbele zaidi katika ku-'show love' kuliko wanawake eeh.... lakini na nyinyi mnapokuwa mnatoa ile naniliu, huwa hamtoi for love kwani?
 
Alaaaa....kumbe!?!?
take this example nyani assume mimi na wewe ni mume na mke tuna mtoto tukawekeana zamu ya kumnunulia nguo ..kila mwezi ,mwezi huu wa kwako ujao wa kwangu...then zamu yangu ikafika bahati mbaya sina hela ...hapo nadhani utanunua nguo..
but kwa mwanamke as long sio zamu yangu sitanunua hata kama nina hela...so ugomvi nini nini si unajua...wanaume sometimes mna mioyo tofauti manatake vitu sometimes easy sisi tunacompicatisha sana....mna love kiukweli..ulishawai kuona mwanamke anatoa lift wewe?
 
Sidhani hapa kama kuna hata mmoja anayempenda kikweli.
Watu watatu at per?

Hajui atendalo huyu kwa mtizamo wangu.

ila kuna mdada huyo, ameolewa. mumewe yupo mbali kimasomo, hapa bongo ana mpenzi mume wa mtu pia!, na hapo hapo ana mpenzi ambaye ni bachelor ila kipato cha bachelor ni kikubwa kuliko mume wa mtu mpenzi wake. so anachokifanya dada huyu, ni kutoa pesa kwa bachelor kwenda kumnunulia huyu mpenzi mume wa mtu vizawadi! yaani mi huwa nachookaaaa, na toka nijue hii habari nimemdharau sana! lol, dunia ina mengi ya kujifiunza!
 
Kuna saa nakupata, kuna saa sikupati
Hasa unaposema mwanamke hapendi sababu hatoi vitu
MSio kwamba wanawake jundi kubwa hatuna kitu cha kutoa?

Na pale tunapikuwa nacho tukitoa tunaonekana tunanunua penzi??

Mwanamke kutotoa 'lift' ni defence ya kike tu, kuna wakaka ukiwapa lift siku tatu tu anaanza matongozo.

take this example nyani assume mimi na wewe ni mume na mke tuna mtoto tukawekeana zamu ya kumnunulia nguo ..kila mwezi ,mwezi huu wa kwako ujao wa kwangu...then zamu yangu ikafika bahati mbaya sina hela ...hapo nadhani utanunua nguo..
but kwa mwanamke as long sio zamu yangu sitanunua hata kama nina hela...so ugomvi nini nini si unajua...wanaume sometimes mna mioyo tofauti manatake vitu sometimes easy sisi tunacompicatisha sana....mna love kiukweli..ulishawai kuona mwanamke anatoa lift wewe?
 
jamani hili neno la kuhonga,halipendezi.wengi wameshasema,sio vibaya kumnunulia mpenzi wako vijizawadi.ila tatizo linakuja,wanaume wengine wanunuliwe wao tu,hapo haipendezi.wewe ukimnunulia,inapendeza na huyo mwanamme mara moja moja anunue.lakini wanaume wengine wanapenda dezo,ambayo ikipitiliza inakuwa mwanamke unachunwa.

very well said Kisukari!
Kama unampenda utamjali na hivyo utapenda ku share naye chochote ulichonacho...manake una mahaba ya dhati kwake.

Lakini neno kuhonga....maana yake nini? TUKI sijui iko wapi hapa duh?!?!
 
Kuna saa nakupata, kuna saa sikupati
Hasa unaposema mwanamke hapendi sababu hatoi vitu
MSio kwamba wanawake jundi kubwa hatuna kitu cha kutoa?

Na pale tunapikuwa nacho tukitoa tunaonekana tunanunua penzi??

Mwanamke kutotoa 'lift' ni defence ya kike tu, kuna wakaka ukiwapa lift siku tatu tu anaanza matongozo.
mbona huelewi ? nadhani ulifeli la nne wewe..ni hivi utoaji wa mwanaume upo hivi ni care ni wajibu ni love..upendo ..ila mwanamke sio hivo yaani anatoa tu kutaka maybe control ya kitu and the like..sio pure controled na moyo wake...
 
Kuhonga/kutoa zawadi...inategemea:
  • Motive.....whats the motive behind as kwa wengine, kama walivogusia, huwa inaenda mbali zaidi ya kuonyesha kujali...ni kuonyesha umiliki fulani hivi
  • kwa maana ya kuonyesha usawa wa kijinsia....sioni tatizo kwa pande mili me/ke kuhongana au kupeana zawadi bila kujali kipato
  • Sikubaliani na Rose80 anayedai specialization of labor kulingana na vitabu vya dini...usawa walioulilia uko wapi? nadhani tusichanganye traditional roles na social roles maana hakuna namna kwa hali ya kawaida mwanaume atabeba mimba!
  • Smile ado unaonyesha utata sana kwen suala la kupenda na kutoa zawadi...siamini kama wanawake hawapendi kama wanaume

Ki ujumla, mimi pia sioni ubaya wowote kwa pandezote mbili 'kuhongana' ili mradi nia ni nzuri na outcome ni kuwa na penzi stahimilivu/himilivu. Nature ya uhusiano sidhani kama ina nafasi sana kwenye hili haijalishi kama ni wanandoa au wapenzi (hivi wanandoa sio wapenzi Kongosho)?
 
Last edited by a moderator:
mbona huelewi ? nadhani ulifeli la nne wewe..ni hivi utoaji wa mwanaume upo hivi ni care ni wajibu ni love..upendo ..ila mwanamke sio hivo yaani anatoa tu kutaka maybe control ya kitu and the like..sio pure controled na moyo wake...
Smile unaongea so authoritatively......kuna kautafiti hivi kadogo ka kuback up ur claims?
 
Last edited by a moderator:
Mimi sioni makosa mwanamke kumnunulia mpenz wake zawadi,it shows tha she cares,na hii yaweza ku strenthen mahusiano yenu.mbaya ni pale mkaka anapobweteka na kujisahau kujitafutia chake,kwa wanaume kuwa dependat haipendezi.hii imekaa sawa kabisa unanipa nakupa,sio wewe wa kupokea 2 kila siku wakati wote tunafanya kazi.mimi mama watoto pamoja na kuwa mama ntilie lakini vijizawadi huwa haviishi.mara shati,gents perfume,pichu,kiatu nk.
 
this is soooo funny.... hivi wanawake mnapokuwa mstari wa mbele kudai usawa huwa mmesahau the so called 'specialization na division of labour' aliyotoa Mungu?

Ivi unajua madai ya usawa yameanzaje?!
Ni baada ya wanaume kuabuse authority waliopewa na Mungu, na kuanza kutawajali na kuwanyanyasa wanawake.
Madai ya haki sawa hayataisha mpaka pale wanaume watakapotumia authority yao vizuri na kuwatreat wanawake vizuri.
 
Naomba kupata mawazo yenu
imekaaje kwa mwanamke 'kumhonga' mwanamme?

Nadhani nimeishi kwenye jamii amabayo mwanamme ndio 'breadwinner' na ndio inaonekana halali hata yeye kumhonga mwanamke na si kinyume chake.

Labda nitoe mfano
Mdada ana kipato kuliko mpenzi wake (ikimbukwe si mme)
Na kuna vitu ambavyo anataka kumpa ili waende sambamba
vinaweza kuwa vitu vidogo vidogo kama mavazi n.k na aina hizo za huduma.

Je hii imekaaje? Inakubalika machoni pa walaji?
Na kama wewe ni mkaka mwanamke akikupa vitu hivyo utajisiakiaje?

Kani hayo mambo anayafanya hadharani mpk aogope macho ya watu?

Kama ni hivyo mfano wako shopping mall flan ivi, kwann mdada asimpe hela mwanaume wakiwa nyumbani, afu wakifika shopping mwanaume ndo awe analipa kama zake?
 
Mwanaume kuhongwa ni noumer, kama mwanamke una kipato kikubwa ni bora umfungulie hata kabiashara huyo mwanaume nae akawa mtafutaji kuliko kuishia kumnunulia pamba na misosi. Jamii siku zote huwachukulia wananiume kama watafutaji hivyo inapotokea mtoto wa kiume anasubiri kuletewa heshima inashuka. Pamoja na hayo, si vizuri kuishi kwa kuangalia macho ya watu. Watu waishi wapendavyo kwa namna ambavyo watafurahia. Kama kuhonga kunanogesha penzi, hakuna sababu ya kuacha kisa jamii itaonaje!
 
mimi kwa fikira zangu neno kuhonga linatumika sehemu tofauti kwa mfano, nina mapenzi wangu wa muda mrefu nimenunulia gari kama zawadi huwezi kusema nimemuhonga it is just a gift for him
ila sasa kama nimemtamani king'asti not wa( jf) ili nikupate nitakuhonga vitu mbalimbali kukushawishi ili tuwe pamoja kwa kipindi fla'n hapo nitakuwa nimekuhonga coz i want to get something from you.
 
Kani hayo mambo anayafanya hadharani mpk aogope macho ya watu?

Kama ni hivyo mfano wako shopping mall flan ivi, kwann mdada asimpe hela mwanaume wakiwa nyumbani, afu wakifika shopping mwanaume ndo awe analipa kama zake?

mmmmh,yea swal zur!!
 
mbona huelewi ? nadhani ulifeli la nne wewe..ni hivi utoaji wa mwanaume upo hivi ni care ni wajibu ni love..upendo ..ila mwanamke sio hivo yaani anatoa tu kutaka maybe control ya kitu and the like..sio pure controled na moyo wake...

Kwa hapa nimefeli darasa la pili, unanichanganya ukisema mwanamke akimpa kitu mwanamme ni njia y kum-controll.

Kuhonga/kutoa zawadi...inategemea:
  • Motive.....whats the motive behind as kwa wengine, kama walivogusia, huwa inaenda mbali zaidi ya kuonyesha kujali...ni kuonyesha umiliki fulani hivi
  • kwa maana ya kuonyesha usawa wa kijinsia....sioni tatizo kwa pande mili me/ke kuhongana au kupeana zawadi bila kujali kipato
  • Sikubaliani na Rose80 anayedai specialization of labor kulingana na vitabu vya dini...usawa walioulilia uko wapi? nadhani tusichanganye traditional roles na social roles maana hakuna namna kwa hali ya kawaida mwanaume atabeba mimba!
  • @smile ado unaonyesha utata sana kwen suala la kupenda na kutoa zawadi...siamini kama wanawake hawapendi kama wanaume

Ki ujumla, mimi pia sioni ubaya wowote kwa pandezote mbili 'kuhongana' ili mradi nia ni nzuri na outcome ni kuwa na penzi stahimilivu/himilivu. Nature ya uhusiano sidhani kama ina nafasi sana kwenye hili haijalishi kama ni wanandoa au wapenzi (hivi wanandoa sio wapenzi Kongosho)?

Kaizer, maelezo mazuri sana.

Wanandoa ni wapenzi lakini wapenzi si wanandoa.

Smile unaongea so authoritatively......kuna kautafiti hivi kadogo ka kuback up ur claims?

Afadhali, si mimi tu ambaye sijaelewa
 
Back
Top Bottom