Mwanamke kukosa uteute ukeni tatizo lake ni nini?

Pole sana.
Sababu zipo nyingi ,lakini nakupa chache.

1:-Kutoandaliwa vizuri nawanaume /hawara wako kabla ya kusuguana.

2:-Matokeo ya wanawake wengi kusafisha Nyuke zao kwa limao na Tangawizi ili kupunguza uvundo.

3:-Hormonal imbalance ambapo inabidi upewe daktari.

4:-Kama wakati wa kukazwa hawara anatumia kondom basi huwnda jipira lile likakausha "cave"

My take:-Unaweza tumia kilainishi ili msolopa zangi upenye vizuri ukeni
 
Ndug siwek chochote sehem zangu za sir na situmii mpira coz ni mume wa ndoa kabisa na hata akiniandaa napata ute mchache mnoo na kama itakuwa ni round ya kwanza ya pili siwez endelea coz hautoki kabisa yaan sina rah kiukweli na ndoa yang sitaman kabisa
 
Kama hauna maradhi yoyote ya bacteria na au fungus basi fanya hivi:

Kula sana matikiti maji na matango na juisi ya karoti kwa wingi.

Karoti, avocado, karanga mbichi zisikose katika milo yako ya siku.

Fanya chatni ya uwatu uwe unakula mara kwa mara.

Pia kila siku kunywa glass moja ya juice ya aloevera.,

Fanya hivyo kwa miezi mitatu mfululizo kisha tuletee majibu.

Matokeo utaanza kuyaona wiki ya tatu toka utapoanza hiyo diet.
 
Nakushauri uende Muhimbili NH ,Pale kutana na Dr.Maro,yeye atakupa matibabu,hasa ya kubalance homon na utafutahia ndoa,mume akiingia tu ndani itakuwa mtelezo.

Usiende kwa mtu asiye daktari kabisa,wala usitumie dawa kienyeji.

Ukitoka uje na jibu hapa
 
Mwanamke kutopata ule ute ute hali hii inatokana na nini maana mimi huwa siupati hata nikikaribia ovulation siupati kabisa naombeni munisaidie kama kuna uwezekano hata wa kutumia dawa nami nikawa nao karibuni kuchangia
Ukijisikia hamu ya kukutana na mwanaume unapata reaction gani huko kwa bibi?
 
Ulishawahi kumuona daktari kuhusu tatizo hilo? Kama ndio alikwambia nini?
 
Ndugu hata hamu na mume Wang imepotea sijisikii kabisa yaan
Hilo ni tatizo kwanza unatakiwa uondoe hali ya huhisi kama ni tatizo pia jitahidi kujijengea hisia has a ukiwa faragha na mumeo, pia kuna vitu vinaweza kukusaidia kubusti kama kuangalia picha za x wakati ukiwa na Mr auhata pekeako, na kuwa na mida wa kutosha wa maandalizi kiwa na mumeo kabla ya tendo na kunabaadhi ya vyakula vinaweza kusaidia
 
Asante mpenzi labda unishaur nitumie vyakula gan sanasana
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom