Mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa husababishwa na nini?

Zungumza nae, pengine kuna jambo anaona aibu kushare na wewe, au mbadilishie style, ikiwezekana onana na daktari wa wanawake kujua kama kuna tatizo

Msongo wa mawazo pia husababisha hali hiyo,unatakiwa kumpa maandalizi ya kutosha

Angalia hali yake ya maisha, majukumu yake, ana watoto wadogo au kunyonyesha? Mambo kama haya yanaweza kusababisha hali kama hiyo

If none of the above, basi ana mahusiano nje au amekuchoka or perhaps affection imekufa
Well said. Habari yako Abrianna?
 
Kuna mambo mengi sana, women are emotional creatures, the easiest way ya kudeal na mke ni kujua hisia zake na kuzilinda.

Kauli ndogo tu inaweza kubadilisha mwelekeo wa mahusiano

Ndio maana mwanamke mwingine anakwambia nilipogundua tu ana mahusiano nje hisia zangu kwake zimekufa, sio kwamba anapenda bali ameumizwa hisia kwa hiyo ile attachment aliyokua nayo anaitoa moja kwa moja

Ni rahisi pia kurudisha hisia za mwanamke au affection, the easiest way ni kuwa karibu nae na kujaribu kushare mambo ambayo yanampa furaha, having good moments together, au kumfanya akuamini tena.

Niseme tu inategemea na mtu,pengine hata hajafanyiwa jambo baya na mwenzi wake ila hisia zimepotea labda kwa sababu ya hali ya maisha au majukumu aliyonayo, au stress au hapati muda hata wa kupumzika, au hata mabadiliko ya meili or hormonsl issues, kwa hiyo all she needs is emotional support, having that feeling kwamba i am not alone in this, someone is always by my side ni treatment tosha

Ndio maana nikamshauri ikiwezekana wamuone daktari pia
OK
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom