Mwanamke kujisaidia wakati wa kujamiana

Inawezekana kujisaidia au mkojo kutoka bila ya yeye kujua. Hii inatokea kama alipata massive orgasm.

Wakati wa Orgasm kuna compounds zinazalishwa mwilini zinaitwa prostaglandins ambazo zina sababisha Uterus i- contract sana na kuongezeka kwa msukumo wa damu kwenye lower pelvis ,kwahiyo inatoa wakati mgumu kwa muhusika ku hold mkojo au haja kubwa.
Tunataka majibu ya kitaalamu kama haya . . Safi sana . .

Nimeshashuhudia pia hali hii kwa mizigo yangu miwili, mmoja hapa Dar mwingine Rwanda . . Na kwa kweli hawaliwi 0713 . .
 
Wakuu habari za mihangaiko

Bila kupoteza muda niende madani.Kuna rafiki yangu kipenzi ameniomba ushauri Ila nimekosa jibu.

Jamaa kaniambia kuwa Jana wakati anasex Na mpenzi wake kitu cha ajabu kilitokea baadae baada ya jamaa kuona kinyesi katika shuka!!,Na staili ilikuwa ya kifo cha mende(missionary).

Jamaa hana tabia ya kupita mlango Wa nyuma,na ameshakuwa faragha mara 6 na huyo mwanamke tukio hili ni Mara ya kwanza.

Pia mwanamke ana mkia wa kondoo(zigo la kuvunja chaga)pia huwa anarusha maji (squirting).

Jamaa ilibidi afue shuka ila alimficha mwanamke alipomuuliza mbona anafua shuka,je huyu mwanamke hakujua alichofanya?

Nisaidieni kumjibu maana mimi sijui la kumwambia.

Je, ni kawaida kama ndio nini husababisha?

Karibuni wapendwa.

itakuwa alijua kuwa anajamba ila ikawa bahati mbaya, tofauti na hivyo jamaaa ck moja afanye km kakosea then aone itapokelewa vp.
 
Ni dhahiri mwenza wa rafiki yako ana matatizo lakini kumtuhumu Moja kwa moja kwamba anaingiliwa kinyume na maumbile si sawa. Mathalan wamejamiiana zaidi ya Mara Sita na hii ni Mara ya kwanza Jambo hili kutokea, ni vyema wakae wajadili kama wapenzi hivi vitu vinaongeleka Kama mnapendana kwa dhati.

Kuanza kuzunguka kwa marafiki na kumsema mwenza wako kwa madhaifu Yake si sawa, na ni kuuweka uhusiano wenu rehani.

Mbadilike wajukuu zangu
 
Kule kusema.."dem hajajua kilichompata?...yani hajashtuka kama kashapakulia mzigo bed...nabisha..hata kama hajaona,harufu hajaskia?"...,i cant buy tht!
 
Sio kumsema tunatafuta chanzo
 
Kule kusema.."dem hajajua kilichompata?...yani hajashtuka kama kashapakulia mzigo bed...nabisha..hata kama hajaona,harufu hajaskia?"...,i cant buy tht!
Muda mfup
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom