"Mwanamke"...Kiumbe pekee ambacho binadamu yeyote hawezi kukiridhisha

Boeing 747

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
3,510
9,349
Katika jamii nafasi ya mwanamke ineonekana kuwa na umuhimu mkubwa sana katika masuala mbalimbali kama vike familia.

Katika sayari ya dunia, mwanamke ameonekana kuwa ndicho kiumbe pekee kisicho ridhika au kwa kugha nyingine niseme mwanamke hana shukrani.

Kuna mambo kadhaa yanayodhihirisha wazi kuwa mwanamke ni kiumbe kisichoridhika na hali halisi ya maisha, kwa mfano

1. Mungu aliwapa wanawake macho mazuri na kooe nzuri, lakini wanayabadilisha kwa kuweka kope za bandia na kuongeza nakshi nyinginezo.

2.Mungu aliwapa wanawake nyweke nzuri, wao wanasuka za bandia na kuvaa mawigi ambayo ni nywele bandia

3.Mungu aliwapa wanawake sauti nyororo na tamu sana masikioni mwa wanaume, lakini nao ndani ya nyumba wanajidai kukaza sauti juu ya waume zao.

4. Mungu aliwapa ngozi nzuri na nyororo, lakini wao wanazichubua..

5.Mungu aliwapa wanawake kucha nzuri, lakini wanaweka za bandia.

6. Mungu amewapa wanawake masikio mazuri, lakini wao wanayatoga

7.Mungu kawapa wanawake pua, lakini wanaitoga
8.Mungu kawapa kitovu kizuri, lakini wanakitoga..

9.Mungu kawapa ulimi mzuri wa kumlamba lamba mumewe, lakini wanautoga.

7.Mungu akawapa lips nzuri, lakini wanazitoga na kuzipaka rangi za midomo a.k.a lip stick.

8.Wamepewa nyusi nzuri, wanazinyoa na kuchora zao kwa wanja

9.Mungu kawapa tumbo la uzazi, eti wanachoma sindano wasizae..

10.Mungu kawapa shape nzuri, wao wanatumia dawa za kichina kubadilisha maumbile yao.

11.Mungu akaumba mwanaume mwenye uume ili wanawake waufaidi, eti wao wanatumia tango na ndizi.

12.Mwanamke akiwa na mume mwenye uume mdogo, analalamika kuwa mumewe ana kibamia

13. Mwanamke akiwa na mume mwenye uume mkubwa, wanalalamika kuwa waume zao wana uume mkubwa.

14.Mungu amewapa matiti mazuri, wao wanayabust yasimame..

15. Mbaya zaidi...Mungu akiwajalia mume mwenye pesa, wanatafuta mchepuko usio na pesa na kuzipondabpesa za mumewe..

16. Mungu akimpa mume asiye na pesa, atatafuta mchepuko wenye pesa.

17.Mungu akawajali kiuno kizuri, wanakivika shanga ..


My take....
Mwanamke ndiye kiumbe pekee aliyekutana na shetani live wakapiga story, moja ya story walizopiga ni kuhusu tunda la mti wa kati, shetani akamuonjesha mwanamke, kisha shetani akampa lingine akamwambia mwanake, hili kampe yule yule jamaa yako asiyejielewa ili ajielewe....basi mwanake akafanya kinyume na agizo la Mungu.....dhambi ikaingia duniani....wanaume tukaumbiwa mateso


Kama Mungu alifanya yoooooote yaliyomema juu ya mwanamke, na mwanamke akamkosoa Mungu na kuamua kufanya yake, je wewe ni nani hata uyambe eti unaweza kumridhisha mwanamke...?
Eti kisa una pesa, kisa una kazi nzuri, kisa una gari na nyumba nzuri, kisa eti wewe ni handsome.....

Kumbuka maandiko yanasema, tukae nao kwa akili......

Wanawake tunawaomba muwe na moyo wa shukrani japo kwa 0.000003%..

Tunawapenda sana na kuwapenda hatutaacha.
 
Hiyo namba 8 ya kwanza natamani sanaaaa kufanya ila naogopa itakavyouma
 
Back
Top Bottom