Mwanamke kila jambo ni yeye kwanini? Wanaume tunaonekana kutupia lawama

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Mwanamke ni mama maana jinsia yake ndio inabeba miezi 9 wanadamu wote.

Mwanamke kabeba majina kahaba, malaya na n.k ila anashiriki na nani? Ambaye hata vitabu vya dini sijawahi kusikia kutaja jinsia ya kiume!

Mwanamke kwenye mada za mapenzi ndio mwenye mzigo mzito kuliko wote! Msaliti, mshenzi, shetani, kiumbe dhaifu na n.k mbona wanaume kwenye ushiriki wa yeye ujawahi kuona hapo!

Mwanamke kwenye dini inaonyesha kuwa hata dunia imani na miungu ijapendezwa kuwepo naye japo itambui kuwa ndio bila yeye hakuna kuwa wanadamu.

Sehemu zenye dini sana au mila potofu ndio zinamlenga sana mwanamke kuliko mwanaume.

Kosa lipi mwanamke linalofanya kuonekana kama haya baada kupita pita vijiweni !
 
Hata kwenye dini mwanamke ndie alie mtoa Adam peponi, hao viumbe Mungu kashindwa kwa visa vyao.


Lunatic
 
Back
Top Bottom