Mwanamke: Kabla hajatoa tamko la kufunga ndoa usimwambie haya…!

Hiyo siri kubwa ni ipi?

Mnakula nyama za watu??

Mpaka mtu awe na spirit kama yako!
Wengine unaweza ambiwa mara moja tu ukanyong'onyea!

Ila hapo kwenye siri kuwa nyepesi ama nzito . . . .hilo nalo linamatter,
Maana kuna siri zingine unaweza mwambia lakini siku atayokuja kuropoka ndugu yangu wee . . . .mpaka unashindwa kujishangaa kwamba "uliliambia la nini"
 
Always, uhuru utakuweka HURU

Kwangu mie wala sio ishu ya uhuru, labda nikiwa karibu na mtu najitoa kwa akili na moyo kwake
Afu huwa ni mwongeaji hivi, na stori hazikatiki, sasa muda wote tunaongelea nini?

Ni kuanzia siasa za marekani, Anguko la Bosnia, Sikiri mie Maskini, Shangazi yangu alivyo na miguu mikubwa, sayansi ya maparachuti, mwali kukata viuno, familia yangu na yake, kifupi tunaongelea kila kitu

Usifikiri eti naitisha kikao kuanza kuanza kusema 'Siri za familia yetu'
1. Tunakula nyama za watu
2. Babu alizaa na shangazi

'''''face your ghost before you move forward because the past has always a way of crimping into your future can run but you can never hide,the past will find you'''''

Kaungagfsonwin,HorsePowerlara 1 King'asti BADILI TABIA,wakati mwingine nakubaliana na nyie wakati mwingine napingana haya sasa
 
Mwita Maranya, BADILI TABIA na MwanajamiiOne, naona mdingi kanielewesha vizuri hapa. Pengine labda secrets zangu mie ni nyepesi ndo maana inakuwa rahisi. Ila on a serious note, labda naangalia pia akili ya mtu kabla ya kuwa close friend (i cant date mtu ambae sio close friend wangu). By the way, si naye nahakikisha ananipa ma family secrets? So ataanzia wapi kumwaga ugali? Na niseme nimekuwa lucky tu kwenye relationships, thank God, ila mie hadi mtu mwenye tuhuma ya uchawi namtaja waziii. Kesho tukigombana akasema ndo maana uncle wako mchawi namuambia acha ukalumekenge, si ulijua hilo before kunipenda?
MwanajamiiOne, mie nikuhurumie tu kwa sababu umekuwa mwanamke muafrika hadi unashindwa kujitetea. Issue ni moja, tuna mgogoro wa ndoa, tumekaa hapa kuelezana siri za moyoni, au tumekaa kujadili ndoa? Kwani wewe ulikuwa na siri ngapi za kwao, za kushuhudia na kusimuliwa? Ntamuambia hapo hapo usije ukasahau kuwaambia na wewe issues zako, unazimikiaga kati kati ya mlima na umepindia juu eeh. Manake kama unalala na mtu unaemuogopa, sasa lile kovu la kwenye kalio (ilimpata dada mmoja tukiwa sec, kakutana na player jamaa akahadithia hilo kovu dar nzima hadi kisarawe nadhani!).

mie si act up, kama ni kukutuma maji jikoni nakutuma live, lol. True colours from day one, im still that naughty gal you saw on the corridor 10 yrs ago.
nakuambia ukimwaga mboga namwaga ugali mimi nilishakutana na mtu tukagombana mpaka leo akiniona ni kulia maana nilisema mbele ya wazazi wake baada yakuona ananiaibisha sana nikasema tu jamani sio kwamba nashindwa kusema aliyonitendea hapana niseme sasa nikavuta hisia alafu chozi kumbe uongo tu eti anataka tigo watu haaaaaaa mtoto mbaya sana huyu wakamgeuzia kibao na akati walikuwa wananilaumu.mtu akimwaga mboga unatulia unamwaga ugali then its over
 
Tushakubaliana wakirudiana kazi yake ni kunipigia tu naenda na helcopter, namcharura weeeh!

Hahaha, nimekumbuka praimare ati kama mtu kaonewa na anaogopa mnamsaidia kumshikilia mbaya wake chini afu aje amdunde mwenyewe. Dah.
Wewe MwanajamiiOne na huo upole wako hata siku zirudi nyuma . . . sidhani kama unaweza kumlipizia hata kwa msonyo tu!! lol
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, weeh bhange unayovuta mbichi na haijakomaa. Dooh! Si hapo ati tumeitana kusuluhisha ndoa unasema aliniambiaga babake alifanya hivi na uncle ulisemwa vile! Dooh, unashusha za kwake mbili na kuwaambia sio kilichonileta. Mkimaliza majungu mnistue basi!
nakuambia ukimwaga mboga namwaga ugali mimi nilishakutana na mtu tukagombana mpaka leo akiniona ni kulia maana nilisema mbele ya wazazi wake baada yakuona ananiaibisha sana nikasema tu jamani sio kwamba nashindwa kusema aliyonitendea hapana niseme sasa nikavuta hisia alafu chozi kumbe uongo tu eti anataka tigo watu haaaaaaa mtoto mbaya sana huyu wakamgeuzia kibao na akati walikuwa wananilaumu.mtu akimwaga mboga unatulia unamwaga ugali then its over
 
Hahaha, weeh bhange unayovuta mbichi na haijakomaa. Dooh! Si hapo ati tumeitana kusuluhisha ndoa unasema aliniambiaga babake alifanya hivi na uncle ulisemwa vile! Dooh, unashusha za kwake mbili na kuwaambia sio kilichonileta. Mkimaliza majungu mnistue basi!
wamejikoki huko wakifika unawavutia pumzi .ila nimejifunza sana na hili lakukeep siri nilijifunza kutoka kwa marafiki wa kike long sana kabla sijawa na mahusiano so nilifunzwa kuwa msiri na mpaka leo hata uwe nakupenda namna gani hata unilambe nakuninyegesha kisawasawa sibugi step meen,ni vizuri ukianza mahusiano mapya uanzia pale mie eti wangu aniulize eti aliyekubikiri nani wewe tu unajiropokea ficha sana mambo hayo lol,
 
Na kwa nini akuulize alikuchana makaratasi ni nani? Anaanzaje?

Ila as days goes anaweza akajua tu

wamejikoki huko wakifika unawavutia pumzi .ila nimejifunza sana na hili lakukeep siri nilijifunza kutoka kwa marafiki wa kike long sana kabla sijawa na mahusiano so nilifunzwa kuwa msiri na mpaka leo hata uwe nakupenda namna gani hata unilambe nakuninyegesha kisawasawa sibugi step meen,ni vizuri ukianza mahusiano mapya uanzia pale mie eti wangu aniulize eti aliyekubikiri nani wewe tu unajiropokea ficha sana mambo hayo lol,
 
Tushakubaliana wakirudiana kazi yake ni kunipigia tu naenda na helcopter, namcharura weeeh!

Hahaha, nimekumbuka praimare ati kama mtu kaonewa na anaogopa mnamsaidia kumshikilia mbaya wake chini afu aje amdunde mwenyewe. Dah.

Ataweza hata kuja kukuita basi??
Sio akikuona tu unasogea anakimbia kwenda kumtorosha mtuhumiwa.
 
Always, uhuru utakuweka HURU

Kwangu mie wala sio ishu ya uhuru, labda nikiwa karibu na mtu najitoa kwa akili na moyo kwake
Afu huwa ni mwongeaji hivi, na stori hazikatiki, sasa muda wote tunaongelea nini?

Ni kuanzia siasa za marekani, Anguko la Bosnia, Sikiri mie Maskini, Shangazi yangu alivyo na miguu mikubwa, sayansi ya maparachuti, mwali kukata viuno, familia yangu na yake, kifupi tunaongelea kila kitu

Usifikiri eti naitisha kikao kuanza kuanza kusema 'Siri za familia yetu'
1. Tunakula nyama za watu
2. Babu alizaa na shangazi
wanaume wakutunza siri ni wachache sana ,hawahawa wenye ndoa wanahadithiana wanvyofanya na wake zao ogopa sana usimwambie siri
 
Yaani unajua nakupendaga, ila naogopaga kusema usije ukanibaka hehehe. Akili yako kama yako vileee!
Always, uhuru utakuweka HURU

Kwangu mie wala sio ishu ya uhuru, labda nikiwa karibu na mtu najitoa kwa akili na moyo kwake
Afu huwa ni mwongeaji hivi, na stori hazikatiki, sasa muda wote tunaongelea nini?

Ni kuanzia siasa za marekani, Anguko la Bosnia, Sikiri mie Maskini, Shangazi yangu alivyo na miguu mikubwa, sayansi ya maparachuti, mwali kukata viuno, familia yangu na yake, kifupi tunaongelea kila kitu

Usifikiri eti naitisha kikao kuanza kuanza kusema 'Siri za familia yetu'
1. Tunakula nyama za watu
2. Babu alizaa na shangazi
 
Na kwa nini akuulize alikuchana makaratasi ni nani? Anaanzaje?

Ila as days goes anaweza akajua tu
wanaulizaga hawa viumbe dhaifu .ila wewe umuulizi hili swali mwanamke mjanja hamchunguzi nguruwe ati humli nakwambia unategemea yeye ukimuuliza mwanamke wako wa kwanza nani atakupa jibu sahihi no!sasa wewe ya nini kujiropokea ?mimi kwa upande wangu naanzia pale pale ya nyuma wachana nayo kabisa
 
Hii ni sababu tosha ya kusitisha uhusiano

BF gani anaweza kwenda simulia washkaji anavyonipindua?? Kweli? Useme una bf? Achia mbali mume??

Mkilala njaa si ataenda kutangaza ITV???

wanaume wakutunza siri ni wachache sana ,hawahawa wenye ndoa wanahadithiana wanvyofanya na wake zao ogopa sana usimwambie siri
 
Hii ni sababu tosha ya kusitisha uhusiano

BF gani anaweza kwenda simulia washkaji anavyonipindua?? Kweli? Useme una bf? Achia mbali mume??

Mkilala njaa si ataenda kutangaza ITV???
nafikiri kwako bado mchana sana huku kwetu tunashuhudia haya kila kukicha ,we kuna wanaume na viatu ati wanaume wakiwa kijiweni ni wambea sana.
 
Huyu mwali wetu MwanajamiiOne anayaweza aisee. Mie naweza kuignore emotional abuse (while abusing you back kimtindo hehehe, ukinikera unanikuta nacheka utumbo jf busy, utajua tu unaibiwa kumbe nimedoda). Ila physical abyuzi hapana aisee, atasema na frying pan ya pua. Na vikao hamna hapo, namuacha jumla. Mie nikiwa praimare kwenye mkumbo wa kuchapwa nilikuwa nasamehewa, manake kwanza naomba ruhusa nikasuusu. Na nikirudi machozi na makamasi hadi mwalimu anaona huruma. Sasa ngumi ama kibao cha mtu mzima jamani? Nisije nika-RIP!

hahahah, mie yasifikie huko walahi, mana msukuma atanimaliza kabisa, sitaki ku imagine aisee,yaani mie muoga wa kipondo kutoka kwa mwanaume mbaya kabisa, kuna siku tulileteana za kuleta zile original kabisa akataka kunirushia kofi akalirudishia njiani nilihisi mkojo unashuka, sasa sijui angelifikisha ingekuwaje aisee.
 
Mwanmme anayeamka na kwenda kukaa kijiweni, simtaki hata kwa dawa

Mie ni bora aamke akatembeze hata maji kwa toroli anauza

Back
Top Bottom