Mwanamke jiulize haya maswali kabla hujafunga ndoa?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,819
33,449
Mwanaume kwenye ndoa ama mahusiano serious anawajibika kumfanyia mwanamke mambo mengi, mwanamke jiulize kitu gani uta offer in return tofauti na papuchi?

Mwanaume anapaswa kufanya mengi yakiyomo haya.

1. Kumlisha mke wake ama mpenzi.
2. Kumtibia mke wake ama kuwajibika kumlipia huduma ya afya akiugua.
3. Kumvalisha mke wake, anapaswa kumpa hela ya mavazi mkewe kila baada ya muda.
4. Kumremba mke wake ama mpenzi, mwananme anawajibika na jukumu la hela za kusuka ama saloon
5. Malazi pia, mwanaume anapaswa kugharamia malazi ya mke wake iwe kwa kujenga ama kulipa kodi kupanga.
6. Maendeleo ya familia.. mwanamme anawajibika maendeleo ya familia kama ada za watoto ama za mke wake akiwa ana soma na hata uwekezaji wa miradi ya familia.
7. Mwanaume anawajibika kumpa mke wake hitaji la kimwili mpaka aridhike na pia kumpa mbegu nzito apate ujauzito ili azae . Mwanamme anapaswa kumaliza nyege za mkewe kitandani.

Mwanamke unapaswa ujiulize pia? Ukiacha kitandani na kuzaa watoto, una kitu gani cha ku offer kwa mumeo, ili ndoa ama mahusiano yenu yawe na fair play.
 
Kwamba hili la kuingia labour halitoshi? Kwa kweli mimi sina cha kku-offer...nina papuchi tu
 
Sasa ukitoa papuchi unazania kuna kitu kingne cha kuoffer? Tena hawa wa dada wa sahiv ata malezi bora kwa watoto hawawezi yote wanawaachia mahousegirl
 
Mwanaume kwenye ndoa ama mahusiano serious anawajibika kumfanyia mwanamke mambo mengi, mwanamke jiulize kitu gani uta offer in return tofauti na papuchi?

Mwanaume anapaswa kufanya mengi yakiyomo haya.

1. Kumlisha mke wake ama mpenzi.
2. Kumtibia mke wake ama kuwajibika kumlipia huduma ya afya akiugua.
3. Kumvalisha mke wake, anapaswa kumpa hela ya mavazi mkewe kila baada ya muda.
4. Kumremba mke wake ama mpenzi, mwananme anawajibika na jukumu la hela za kusuka ama saloon
5. Malazi pia, mwanaume anapaswa kugharamia malazi ya mke wake iwe kwa kujenga ama kulipa kodi kupanga.
6. Maendeleo ya familia.. mwanamme anawajibika maendeleo ya familia kama ada za watoto ama za mke wake akiwa ana soma na hata uwekezaji wa miradi ya familia.
7. Mwanaume anawajibika kumpa mke wake hitaji la kimwili mpaka aridhike na pia kumpa mbegu nzito apate ujauzito ili azae . Mwanamme anapaswa kumaliza nyege za mkewe kitandani.

Mwanamke unapaswa ujiulize pia? Ukiacha kitandani na kuzaa watoto, una kitu gani cha ku offer kwa mumeo, ili ndoa ama mahusiano yenu yawe na fair play.
Una uhakika kuwa wanaume wote hufanya hao uliyo ya orodhesha?
 
Cha ku offer wanawake kwa wanaume ni;

1. Msongo wa mawazo
2. Umasikini
3. Gubu
4. Ugomvi kwenye familia (kiumeni)
4. Kifo cha mapema - ndio maana huwa wanajiandaa kurithi mali mapema kabisa

Mwanaume chunguza sana mwanamke kabla ya kuoa, angalia familia yake na jipe muda kuifahamu vizuri familia yake...
 
Hapo kwa wanaume umeonesha namba1-6 vyote ni pesa/hela/fedha actually hata ukinyumbulisha nyumbulisha ili vionekane vingi.
kwahiyo wanaume wanaoffer
1: Pesa
2: Mauno
wanawake umesema wana offer;
1. papuchi
2. Kuzaa watoto
so ngoma droo according to you. Hamna unfaireness hapo 2-2.
kujibu swali lako vingine huwa tunajituma kuwasaidia pesa kwa ajili ya hivyo vyote 1-6 . Pamoja, kupika, kufua, kusafisha na Malezi ya watoto juu.
Aaah na kulibembeleza, kulidekeza na kulipetpet litoto likubwa la Mama Mkwe lisilokua .
🤪
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom