Mwanamke hujiandaa kila anapotoka nyumbani!!

Wazima Hapa??
Leo na mada hii Je unajua mwanamke anapotoka nyumbani huwa amejiandaa kwa tukio lolote lile?!
Nidhahili wenzetu kutokana na maumbile yao lazima wakae na maandalizi endapo itatokea chochote ambacho si cha kawaida ili aweze kujistili!
Ila sasa kingine mwanamke anapotoka nyumbani ujiandaa kwa mengi moja ni kwa mahusiano mapya!!
Mwanamke anapokuwa akivaa nguo yake nakujitazama kwenye kioo kwanza ufikiria nikipata mahusiano mapya natakiwa nionekane nipo fit,hata anapovaa chupi ujitahidi kuvaa chupi nzuri ya kuvutia hii nikwa sababu atakapokutana na mahusiano mapya asipate aibu!!japo hapo kakuacha kitandani.
Hivyo ujue ukitongoza mwanamke akakunyima siku hiyo ujue ulikuwa na mapungufu katika mistari wao huwa wapo tayari kwa tukio lolote!na huwa wamejiandaa kabisa!!
Hivyo wao wapo kwa ajili yetu haijalishi kaolewa au ana mchumba!!
Sema kweli kaka? Hii ni habari njema sana kwangu aisee!
 
Hujielewi wewe, kama mwanamke anatoka akiwa amejiandaa na mahusiano mapya basi ni kitendo endelevu hivo na wanaume hutoka wakiwa wamejiandaa kutongoza wanawake hata 10 kwa wakati mmoja
 
Nikweli kabisa haujakosea kabisa na wengine utembea na kondom kabisa katika magari na wallet!
 
Mkuu ujaelewa mbona nimeanza na mazuri ila ukweli hata kama unaenda wapi mwanamke ujiandaa na safari na kuweka endapo!!....nikitokewa na mtu ikafika katika kuvua nguo basi anikute ni msafi ndiyo maana mwanamke avai nguo ili apendeze bali uvaa nguo kumpendezesha mwanaume atakaye kutana naye! !attraction is the first priority!
"Eti nikitokewa na mtu ikafika hatua ya kuvua nguo"

Kama wapenzi wako wote wako hivyo nakupa pole sana.

Bas bora ungebadilisha andiko ukaandika kwa ajili ya mwanamke Malaya, sio kila mwanamke aiseee anawaza kutoka ndani akutane na watu wafanye zinaa.
Zinaa ingekuwa rahisi kufanywa kiasi hicho bas watu wasingeoa na kuolewa.

Anyway, next time heshimu wanawake, sisi sio wa hivyo japo wapo wa hivyo. So, better useme baadhi ya wanawake au wanawake makahaba...
 
Wazima Hapa??
Leo na mada hii Je unajua mwanamke anapotoka nyumbani huwa amejiandaa kwa tukio lolote lile?!
Nidhahili wenzetu kutokana na maumbile yao lazima wakae na maandalizi endapo itatokea chochote ambacho si cha kawaida ili aweze kujistili!
Ila sasa kingine mwanamke anapotoka nyumbani ujiandaa kwa mengi moja ni kwa mahusiano mapya!!
Mwanamke anapokuwa akivaa nguo yake nakujitazama kwenye kioo kwanza ufikiria nikipata mahusiano mapya natakiwa nionekane nipo fit,hata anapovaa chupi ujitahidi kuvaa chupi nzuri ya kuvutia hii nikwa sababu atakapokutana na mahusiano mapya asipate aibu!!japo hapo kakuacha kitandani.
Hivyo ujue ukitongoza mwanamke akakunyima siku hiyo ujue ulikuwa na mapungufu katika mistari wao huwa wapo tayari kwa tukio lolote!na huwa wamejiandaa kabisa!!
Hivyo wao wapo kwa ajili yetu haijalishi kaolewa au ana mchumba!!
Inauma sana kwa wanandoa
 
Namshukuru MUNGU kwa kuzaliwa mwanaume.
Halafu ukazaliwa na mwanamke.

Ukweli ni kwamba wanawake ni mhimu kwa maisha ya mwanamme.

Mi kuna kibinti kinanipeleka puta ile mbaya, hafu kimenigomea ile mbaya, adhabu kinazonipa kwa kukiwaza waza we acha tu
 
"Eti nikitokewa na mtu ikafika hatua ya kuvua nguo"

Kama wapenzi wako wote wako hivyo nakupa pole sana.

Bas bora ungebadilisha andiko ukaandika kwa ajili ya mwanamke Malaya, sio kila mwanamke aiseee anawaza kutoka ndani akutane na watu wafanye zinaa.
Zinaa ingekuwa rahisi kufanywa kiasi hicho bas watu wasingeoa na kuolewa.

Anyway, next time heshimu wanawake, sisi sio wa hivyo japo wapo wa hivyo. So, better useme baadhi ya wanawake au wanawake makahaba...
Mwanamke ni mwanamke tu! Anachofanyiwa huyo unayedai Malaya wakati wa gegedo ndicho unachofanyiwa wewe kwenye kitendo hicho hicho! Na wote mnajisikia hivyo hivyo! Sasa tofauti iko wapi? Halafu nyuma ya keyboard kila MTU anajifanya mstaarabu wakati pivyu vinavuliwa sana! Nani humu hajui kuvua pivyu?
 
Walewale, na mnakutana na walewale.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom