HARUFU Platinum Member Jan 21, 2014 31,552 48,148 May 26, 2014 #2 Jamaa kazidiwa angalia mguu wake wa kulia unachuchumia kama hakumwangusha sijui, halafu kuna mayowe yanaendelea muangalie bibie aliyebebwa
Jamaa kazidiwa angalia mguu wake wa kulia unachuchumia kama hakumwangusha sijui, halafu kuna mayowe yanaendelea muangalie bibie aliyebebwa
bysange JF-Expert Member Jan 11, 2011 4,456 1,563 May 26, 2014 #4 Halafu kama siku ya valentaini vile jamaa anaonesha upendo hahahaaa!
Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 18,654 13,475 May 26, 2014 Thread starter #5 HARUFU said: Jamaa kazidiwa angalia mguu wake wa kulia unachuchumia kama hakumwangusha sijui, halafu kuna mayowe yanaendelea muangalie bibie aliyebebwa Click to expand... kwa lugha rahisi nadhani jamaa anataka kujiua aiss!
HARUFU said: Jamaa kazidiwa angalia mguu wake wa kulia unachuchumia kama hakumwangusha sijui, halafu kuna mayowe yanaendelea muangalie bibie aliyebebwa Click to expand... kwa lugha rahisi nadhani jamaa anataka kujiua aiss!
Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 18,654 13,475 May 26, 2014 Thread starter #6 bysange said: Halafu kama siku ya valentaini vile jamaa anaonesha upendo hahahaaa! Click to expand... hapo hata akifikisha mzigo geto sidhani kama ataweza kula!
bysange said: Halafu kama siku ya valentaini vile jamaa anaonesha upendo hahahaaa! Click to expand... hapo hata akifikisha mzigo geto sidhani kama ataweza kula!
mankachara JF-Expert Member Sep 27, 2013 6,139 3,450 May 26, 2014 #7 Muangalie huyu mwanamke anaeshuhudia upande wa kulia naona kama amevaa slide
bysange JF-Expert Member Jan 11, 2011 4,456 1,563 May 26, 2014 #8 Zamaulid said: hapo hata akifikisha mzigo geto sidhani kama ataweza kula! Click to expand... hahahaaaaa,nahisi atajibrazashugakeni,lol!
Zamaulid said: hapo hata akifikisha mzigo geto sidhani kama ataweza kula! Click to expand... hahahaaaaa,nahisi atajibrazashugakeni,lol!
Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 18,654 13,475 May 26, 2014 Thread starter #9 bysange said: hahahaaaaa,nahisi atajibrazashugakeni,lol! Click to expand... kweli mkuu wasukuma wanasema kopyanja ete khoulumanga!ataonja hata kama ni kwa kulamba!
bysange said: hahahaaaaa,nahisi atajibrazashugakeni,lol! Click to expand... kweli mkuu wasukuma wanasema kopyanja ete khoulumanga!ataonja hata kama ni kwa kulamba!
Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 18,654 13,475 May 26, 2014 Thread starter #10 Zamaulid said: Click to expand... sijui hawa wengine nao wanasubiri zamu zao!!naona wamesimama msimamo wa kubebwa!
Zamaulid said: Click to expand... sijui hawa wengine nao wanasubiri zamu zao!!naona wamesimama msimamo wa kubebwa!
F farkhina Platinum Member Mar 14, 2012 14,568 16,906 May 26, 2014 #11 Ahhahahah huyo bonge alobebwa ni ghananian actress kuna movie moja anataka nae awe model lol.... Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ahhahahah huyo bonge alobebwa ni ghananian actress kuna movie moja anataka nae awe model lol.... Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
kadakokigondile JF-Expert Member May 17, 2013 1,872 634 May 26, 2014 #12 Zamaulid said: Click to expand... Mzigo mzito mpe Mnyamwezi utafika tuu:smile-big: