mwanamke hawezi kuwa mzito kwa mwanamme!

Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
18,569
13,376
10406688_331177880370685_3166096657581470119_n.jpg
 
Jamaa kazidiwa angalia mguu wake wa kulia unachuchumia kama hakumwangusha sijui, halafu kuna mayowe yanaendelea muangalie bibie aliyebebwa
 
Halafu kama siku ya valentaini vile jamaa anaonesha upendo hahahaaa!
 
Jamaa kazidiwa angalia mguu wake wa kulia unachuchumia kama hakumwangusha sijui, halafu kuna mayowe yanaendelea muangalie bibie aliyebebwa
kwa lugha rahisi nadhani jamaa anataka kujiua aiss!
 
Muangalie huyu mwanamke anaeshuhudia upande wa kulia naona kama amevaa slide
 
Ahhahahah huyo bonge alobebwa ni ghananian actress kuna movie moja anataka nae awe model lol....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom