Mwanamke hata uwe mzuri vipi mwanaume atachepuka tu, uzuri haumzuii mwanaume kuchepuka

Hamna maajabu yeyote ktk yote niliyoshuhudia niliyofanya mkitendwa bado sijaona kama kuna kisasi cha kutushtua wanaume
Wewe hujakutana na Mwanamke ana roho ya kisasi kuna ex wangu alikuwa ana kauli kama zako mbona aliikimbia dar kwa ajili yangu na akija anakuja kwa kujificha.
 
Wanawake bana mnajuaga kujipa sifa..! 😄

Hicho kisasi cha mwanamke ni kipi? Mimi naona wanawake wanachitiwa kila siku na waume zao na ushahidi wanao na hamna kisasi chochote zaidi ya kulia lia tu na kukimbia kwa wazee/wachungaji nk kwenda kulalamika. Asilimia 95 ya wanawake hata mwanaume akichepuka hawafanyi chochote zaidi ya kulia na kulalamika na mwisho kusamehe.
Hao sio wote mimi nikiamua kumnyoosha Mwanaume atasimulia kwa wenzie nimekutana na lishetani si yeye.
 
Wewe hujakutana na Mwanamke ana roho ya kisasi kuna ex wangu alikuwa ana kauli kama zako mbona aliikimbia dar kwa ajili yangu na akija anakuja kwa kujificha.
Haha unaona sasa nyie maneno mengi hamna kisasi kutuzidi sisi na kama ni ukatili hivi wanawake mna ukatili gani kuwazidi wanaume ? Maana kama ni ushetani sisi ndio mashetwani hasa

Ndio maana mmpewa roho ya huruma sababu mnazaa
 
Achepuke tu, cha muhimu anachepuka kubadili ladha sio kisa kakosa tamu nyumbani.....
 
Kwahiyo mnahalalisha kuchepuka kwenu eeh, so unaamini haiwezekani kabisa kutulia na mmoja ? Au kujiendekeza tu?
 
Ukiona mwanamke hajali kuchepuka kwa mumewe (off course kama anaye) ujue na yeye mchepukaji.
Cheni ya dhahabu bandia kwa hela ya noti bandia.
Ngoma droo!
 
Back
Top Bottom