Mwanamke hachungwi

Baraka Roman

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
692
262
Kuna mdada alkuw na BoyFriend mwngne so ilikutoka home kwake alikokuwa anaishi na mumewe ilibid apange dili.... ucku akacngzia anaumwa tumbo full kulia yan.... mumewe kachanganykiw na kuwasha gari kumpeleka hsptl..... kumbe bidada kapanga dili kuanzia manesi hadi doctor na muda wa kuletwa hsptl akiwa hoiii.....alipofikishwa tu manesi wakamdaka ooohhhh tunampeleka kwa uchnguzi zaidi na doctor aka advice pale inabidi urudi home tu huyu tutamlaza hpa kwa leo ila kesho asubuhi uwahi na chai ya mkeo......bac baba wa watu kuondoka tu wakaanza kumcheka kumbe mule wodini alkuwepo huyo boyfrnd wke anamsubiri na akawalipa hela wauguz na doctor.....full kujiachia na hawara yake huyo ucku mzimaaaaaa......asbh eti mume kaleta chai....duh huruma!!!! USIMCHUNGE MTU JAMAN!!!!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
hadithi hii kakusimulia nani? mama au baba? inatufundisha nini? chagua mkoa wa kwenda!
 
Back
Top Bottom