Mwanamke epuka mwanaume anaekupaka mate

Mbona umesahau kuhusu kuhamisha Ikulu!? Nduli na dikteta wa Ikulu kaamua by December 2019 Ikulu ni lazima iwe imehamia Ikulu.
Abebee na lile sanamu la askari pale posta achukuwe tu akaliweke kwenye mataa wanayovuka punda kule chattle
 
Watu wanaenda na mdundo wa ngoma ya Diamond..."ipake mate iteleze"...!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyo mkwapuzi tena kila kitu ahamishie tu huko hata Indian Ocean ahamishie tu ila asitie mguu tena Dar tumeshamchoka na maovu yake.

Abebee na lile sanamu la askari pale posta achukuwe tu akaliweke kwenye mataa wanayovuka punda kule chattle
 
Wengi pia wanapaka wenyewe au tupo option nyingine ya mate mana huwa fluid ile inaisha panabaki pakavu
Hakuna sehemu yenye vijidudu vya magonjwa Kama mdomoni.
Bahati mbaya sana wanaume wengi hawawezi kufanya mapenzi bila kutumia mate Jambo ambalo linawaacha wanawake wengi na maradhi ya ukeni baada ya tendo. Na hatuelewi Ni kwanini maana huko panalainika penyewe
Wanaume eleweni mnapotuwekea mate tunaenda kupata hasara ya kujitibu fangas na bacteria .mbaya zaidi hata hiyo hela hamtoi.
Kama unaona haingii bila mate jua hiyo sio size yako acha tafuta ingine.


Tuma order karibu tukuhudumie
 
Back
Top Bottom