Mwanamke epuka mwanaume anaekupaka mate

Jul 7, 2019
48
144
Hakuna sehemu yenye vijidudu vya magonjwa Kama mdomoni.

Bahati mbaya sana wanaume wengi hawawezi kufanya mapenzi bila kutumia mate Jambo ambalo linawaacha wanawake wengi na maradhi ya ukeni baada ya tendo. Na hatuelewi Ni kwanini maana huko panalainika penyewe.

Wanaume eleweni mnapotuwekea mate tunaenda kupata hasara ya kujitibu fangas na bacteria .mbaya zaidi hata hiyo hela hamtoi.
Kama unaona haingii bila mate jua hiyo sio size yako acha tafuta ingine.


Tuma order karibu tukuhudumie
 
Back
Top Bottom