Elections 2010 Mwanamke Bungeni na CCM Inapigia Hesabu Wanawake Inchini Wataingia Mkenge Tena!

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
114
CCM Kweli Haina Sera. Haina Hoja. Haina Uongozi. Haina Support. Haikubaliki na Wananchi. Hivi Karibuni Wamechukua Uongozi kwa Mabavu. Wiki Hii Wanamweka Mwanamke Kama Spika. Hii ni Dharau kwa Wananchi na Kujalibu Kutafuta Kura kwa Wanawake. Wananchi wa Kitanzania Sio Wajinga Hivyo. Wananchi Wanataka Mabadiliko na CCM na Kikwete Wanaita Haya "Change You Can Believe" Wanawake Inchini Wameonewa vya Kutosha - Wengi Wananyanganywa Mali Waume Zao Wakifa na Kuachwa na Watoto na Umaskini Juu, Wanawake Wanapewa Magonjwa na Hao Hao Matajili wa CCM, Wanawake Ndio Back Bone ya Familia Zetu Wote Watanzania na Wanawake Ndio Wametuzaa na Kutupa Mapenzi ya Kweli ya Kitanzania. Wananchi Tunawaheshimu Sana Wanawake na Dada Zetu. Itakuwa Safari Kubwa kwa Huyu Anna Makinda. Makinda Anafikiri Kukaa Kwake Serikalini kwa Miaka Arobaini ni Vile Vile Nchi Bado Imelala. This Time There is No Joke and We are Going to Lunch Transparency Policy Toward Bunge. Tutaangalia Kila Bill na Jinsi Gani Itakavyoruhusiwa Kupata Nafasi Kujadiliwa na Kupitishwa. Itakuwa Aibu Kama Mwanamke Atakubali nchi Iendelee Kuibiwa Utajili, Kuendeshwa kwa Udikteta na Kuendeleza Matumizi ya Fedha Hovyo. Karibu Makinda Somo la Siasa 2010. Hii ni Nchi ya Sisi Sote Sio Familia Zenu Tu.
 
Hassan J. Mosoka

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
682
321
Mzee tangu juzi nimekuwa nikufuatilia kwa makini juu ya uchaguzi wa spika wa bunge la kumi hapa Bongo, Nilichojifunza kutoka ccm, wanatafuta mtu ambaye wanadhani haturuhusu kabisa hoja za ubadhirifu wa mali umma zenye kukinzana na matakwa ya mabeberu wanaoongoza nchi kujadiliwa nna yeyote mwenye kujaribu kuleta aina hiyo ya hoja atashugulikiwa. In short they want to be sure that the voters, commoners are not going to be informed with and therefore they can easily win next election.
Hapa tena naona hawajasoma nyakati na kugundua kuwa njia za kupata habari zimekuwa nyingi more than they think. Ngoja tusubiri na tuone
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,518
6,110
yaani hakuna kipindi hii nci inapita kwenye matatizo na giza kama kipindi cha utawala wa mkwere..yaani ni sanaa tupuuuuu
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,167
CCM Kweli Haina Sera. Haina Hoja. Haina Uongozi. Haina Support. Haikubaliki na Wananchi. Hivi Karibuni Wamechukua Uongozi kwa Mabavu. Wiki Hii Wanamweka Mwanamke Kama Spika. Hii ni Dharau kwa Wananchi na Kujalibu Kutafuta Kura kwa Wanawake. Wananchi wa Kitanzania Sio Wajinga Hivyo. Wananchi Wanataka Mabadiliko na CCM na Kikwete Wanaita Haya "Change You Can Believe" Wanawake Inchini Wameonewa vya Kutosha - Wengi Wananyanganywa Mali Waume Zao Wakifa na Kuachwa na Watoto na Umaskini Juu, Wanawake Wanapewa Magonjwa na Hao Hao Matajili wa CCM, Wanawake Ndio Back Bone ya Familia Zetu Wote Watanzania na Wanawake Ndio Wametuzaa na Kutupa Mapenzi ya Kweli ya Kitanzania. Wananchi Tunawaheshimu Sana Wanawake na Dada Zetu. Itakuwa Safari Kubwa kwa Huyu Anna Makinda. Makinda Anafikiri Kukaa Kwake Serikalini kwa Miaka Arobaini ni Vile Vile Nchi Bado Imelala. This Time There is No Joke and We are Going to Lunch Transparency Policy Toward Bunge. Tutaangalia Kila Bill na Jinsi Gani Itakavyoruhusiwa Kupata Nafasi Kujadiliwa na Kupitishwa. Itakuwa Aibu Kama Mwanamke Atakubali nchi Iendelee Kuibiwa Utajili, Kuendeshwa kwa Udikteta na Kuendeleza Matumizi ya Fedha Hovyo. Karibu Makinda Somo la Siasa 2010. Hii ni Nchi ya Sisi Sote Sio Familia Zenu Tu.

Mkuu unaongea kama Mbunge.

Tuko pamoja. CCM wamefeli. Na wataendelea kufeli.
 
The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,607
5,970
Mkuu unaongea kama Mbunge.

Tuko pamoja. CCM wamefeli. Na wataendelea kufeli.

Mkuu hii signature yako inanifurahisha sana halafu nikimfikiria na mkwere ndio kabisaaa

2005 Sikumpa Kura Yangu JK; 2010 Sikumpa Kura Yangu JK. Kwa Sababu JK Ni Chekibobu. Siwezi Kutoa Kura Yangu Kwa Chekibobu. Bora Nife Tu, Kuliko Kutoa Kura Yangu Kwa Chekibobu. Chekibobu Hastahili Kuwa Rais wa TZ. Ndiyo Maana Tuna Matatizo Mengi Kwa Sababu ya Huyu Chekibobu JK.
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,167
Mkuu hii signature yako inanifurahisha sana halafu nikimfikiria na mkwere ndio kabisaaa

2005 Sikumpa Kura Yangu JK; 2010 Sikumpa Kura Yangu JK. Kwa Sababu JK Ni Chekibobu. Siwezi Kutoa Kura Yangu Kwa Chekibobu. Bora Nife Tu, Kuliko Kutoa Kura Yangu Kwa Chekibobu. Chekibobu Hastahili Kuwa Rais wa TZ. Ndiyo Maana Tuna Matatizo Mengi Kwa Sababu ya Huyu Chekibobu JK.

Mkwere anafaa kuwa Rais wa Bendi ya Muziki. Siyo Rais wa Tanzania au nchi yoyote.
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,980
9,558
WANAWAKE WAKIWEZESHWA WANAWEZA:smile-big::smile-big::smile-big:

Ni kweli kuwa wanawake wakiwezeshwa wanaweza, lkn Makinda siyo aina ya hao wanawake wanaotakiwa wawezeshwe. Kwanza ana kiburi, jazba na hasira zisizo na maana. Tatizo lake nadhani alinyweshwa maji ya kijani. Hayuko pale kwa maslahi ya Taifa, bali kwa maslahi ya MAFISADI na Waume zake.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom