Mwanamke baada ya kujifungua

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,973
1,398
Naomba kujua mwanamke baada ya kujifungua uchukua mda gani kuanza kujisikia hamu ya kufanya tendo la ndoa na mume wake?hapa naamanisha bila ya Mume wake kuamsha hashiki ya kutaka kufanya naye mapenzi.Nauliza hivi sababu niko naye mbali kwa sasa nikitafuta maisha huku yeye akiwa amepumzika nyumbani.
 
ashki anazipata kwa mtoto wake akinyonya na nyege zinaishia hapo .sasa wewe subiri akuamshie ashki utakaa sana ukizingatia upendo ushaamia kwa mtoto.ila chonde msinibemendee mwanangu sababu ya ashki zenu lola
 
Ninachotaka kujua ni mda gani mzazi anakuwa anamiss kitu toka alipojifunga?hilo ndilo na muhimu kwangu.
 
Inategemea. Baada ya mwezi mmoja siyo mbaya. Ila kuwa makini usije ukamubemenda mtoto. Swali la kizushi: Wakati mjamzito uliishia mwezi gani kumnanihiii?
 
haina fomula.

Wanawake hawafanani kama maembe kusema wataiva baada ya siku kadhaa baada ya embe kukomaa.

Kuna wengine wakijifungua hamu ya tendo huisha na huchukua muda kurudi.

Kuna wengine ila anatoa mtoto tu anataka baba mtoto aje asafishe njia.

Si muulize mkeo kama ameshaanza kutaka?

Ninachotaka kujua ni mda gani mzazi anakuwa anamiss kitu toka alipojifunga?hilo ndilo na muhimu kwangu.
 
inategemeana na aina ya mtu, na vyakula anavyokula. ila ukweli supu na mitori ukieka na uji wa ulezi wenye siagi huleta ashki mapema sana, na ndio maana kwa wale wenzangu na mm unamaliza 40 na mimba juu lol!
 
Niliwahi kuuliza hili swali humu, nilichokipata sitaki hata kukumbuka...LOL
 
Back
Top Bottom