jamii01
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,973
- 1,398
Naomba kujua mwanamke baada ya kujifungua uchukua mda gani kuanza kujisikia hamu ya kufanya tendo la ndoa na mume wake?hapa naamanisha bila ya Mume wake kuamsha hashiki ya kutaka kufanya naye mapenzi.Nauliza hivi sababu niko naye mbali kwa sasa nikitafuta maisha huku yeye akiwa amepumzika nyumbani.