Mwanamke auawa kikatili, akutwa uchi/polisi wafunguka

LENGISHO

Senior Member
Sep 15, 2017
169
245
VIDEO: MWANAMKE AUAWA KIKATILI, AKUTWA UCHI/POLISI WAFUNGUKA

MWANAMKE aliyetambulika kwa jina moja la Khadija amepatikana akiwa amefariki maeneo ya Sinza-Afrika Sana, jijini Dar es Salaam, akiwa hana nguo zozote mwilini (uchi). Baadhi ya mashuhuda ambao wamefanikiwa kushuhudia tukio hilo wamefunguka na kusema kuwa wamemkuta ametupwa hapo tangu asubuhi ambapo watu walikuwa wakimpita kwa mshangao na kuondoka.

Hata hivyo, hatimaye polisi wa eneo hilo walipata taarifa na kufika eneo la tukio ili kufanya uchunguzi wa kina wa tukio hilo ambapo waliuchukua mwili huo na kuupeleka hospitali ya Mwananyamala.
 
Tanzania mpya ya kutojali haki ya Maisha na uhai wa mtanzania imekamilishwa na hii serikali ya ccm

1. Serikali kuona mauwaji nijambo lakawaida na kushindwa kushughulika na wahusika wa mauwaji mfano
- Alphonce mawazo
- Daud mwangosi
- Azory Gwanda
- Ben Santana
- Akwilima Akwiline
- watu kuuwawa nakutupwa ndani ya viroba

2. Serikali kuona utekaji, upotezaji na utesaji kuwa jambo lakawaida na kushindwa kushughulika na wahusika ... mfano

- Dr ulimboka
- kupigwa risasi Tundu Lisu
- kutekwa Roma mkatoriki
- kuvamiwa clouds media
- kutekwa mo dewi

Hakika sasa sio tu wasiojulikana mbegu imepandwa na kushamiri miongoni mwa raia Sisi kwasasa

Serikali ya ccm ijitafakal kwa kina mini imepananda, kinachoendelea na nini tutavuna kama taifa huko tuendako.

Hizi nidalili za mavuno yakile wasiojulika walishaanza kukipanda nakukipalilia.
 
Naam kabisa ...mad mad mad mad mad

Akwilina wauaji wake akina Mbowe wana kesi mahakamani
 
Una hasira na chuki kwa serikali.
Hivi polisi wana uwezo wa kuhisi kuwa muda huu kuna mauaji yanafanyika mahali fulani?
Sina hakika kila mauaji yanayofanyika serikali kulaumiwa kwa uzembe, I doubt.
 
Tanzania ni nchi ya amani na upendo, yawezekana hizo sifa zimebakia kwenye vitabu au bado zipo!?
 
VIDEO: MWANAMKE AUAWA KIKATILI, AKUTWA UCHI/POLISI WAFUNGUKA

View attachment 1156254

MWANAMKE aliyetambulika kwa jina moja la Khadija amepatikana akiwa amefariki maeneo ya Sinza-Afrika Sana, jijini Dar es Salaam, akiwa hana nguo zozote mwilini (uchi). Baadhi ya mashuhuda ambao wamefanikiwa kushuhudia tukio hilo wamefunguka na kusema kuwa wamemkuta ametupwa hapo tangu asubuhi ambapo watu walikuwa wakimpita kwa mshangao na kuondoka.

Hata hivyo, hatimaye polisi wa eneo hilo walipata taarifa na kufika eneo la tukio ili kufanya uchunguzi wa kina wa tukio hilo ambapo waliuchukua mwili huo na kuupeleka hospitali ya Mwananyamala.

Ni taarifa ya Kusikitisha sana na hakuna Binadamu yoyote mwenye Akili timamu na mwenye Hofu ya kweli ya Mungu atafurahishwa nayo kwani alichofanyiwa ni Ukatili usiovumilika, Ila niwaombe sana Dada zangu na Mama zangu hebu kabla ya Kuanzisha Mahusiano na Wanaume jitahidi Kuwasoma tabia zao na hadi nyendo zao na acheni Kurubuniwa hovyo kwakuwa tu mnadanganywa na Vijisenti na Kuendekeza dhiki na hatimaye mnakuwa Watumwa kwa Wanaume, wanawafanya watakavyo na mwishowe Wanawauwa Kinyama kama hivi. Badilikeni Wanawake!
 
VIDEO: MWANAMKE AUAWA KIKATILI, AKUTWA UCHI/POLISI WAFUNGUKA

View attachment 1156254

MWANAMKE aliyetambulika kwa jina moja la Khadija amepatikana akiwa amefariki maeneo ya Sinza-Afrika Sana, jijini Dar es Salaam, akiwa hana nguo zozote mwilini (uchi). Baadhi ya mashuhuda ambao wamefanikiwa kushuhudia tukio hilo wamefunguka na kusema kuwa wamemkuta ametupwa hapo tangu asubuhi ambapo watu walikuwa wakimpita kwa mshangao na kuondoka.

Hata hivyo, hatimaye polisi wa eneo hilo walipata taarifa na kufika eneo la tukio ili kufanya uchunguzi wa kina wa tukio hilo ambapo waliuchukua mwili huo na kuupeleka hospitali ya Mwananyamala.

Kwahiyo kupeleka mwili hospitali ndo wamefanya uchunguzi wa kina? Au ulimaanisha nini? Kwa mwendo huu wasiojulikana wataendelea kutamba sana!!
 
Back
Top Bottom