Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Nikisema nikae chini nijaribu kuwakumbuka malaya wa kwenye hayo makundi ya Telegram mnaweza kuja kusema mimi ndio Firauni mwenyewe!!
Duuu aisee nimepitwa sana,
Au ndo kama yale magroup ya WhatsApp ambayo unasikia kuunganishwa 3000?
 
Ikihappen kuipata picha yake nitaituma humu.
Ni huyu?
IMG_20201101_070853_878.jpg
 
Huyu ni Slimthick marry
Mkuu unaona hadi ndani ya mask.
Heshima nyingi zikufikie, kuna mdada tulikua tunaishi naye jirani na yeye kazi yake ilikua hiyo hiyo.
Hadi masela wakamjengea nyumba Ina mlinzi na wafanyakazi wa ndani na bustani.
Kulikua na main dude ambaye akija mule ndani ni kimya ila asipo kuwepo kwa siku yanaingia magari matatu, manne.
alikua na kitoto chake cha kike, nacho kilikua kinatoa hatari
 
Mkuu huyo uliyemquote yeye mwenyewe alikuwa anamwambia jamaa mwingine kuwa ni muongo, sasa nashangaa na wewe umekuja kumwambia yeye ni muongo. Kumbuka kama huelewi kilichotokea hapo kuna nyuzi mbili ziliunganishwa. (Ukiona mtu ameandika chai maana yake anamaanisha ni uongo).
Doh tusameheane tu wakuu si unajua tena
 
Back
Top Bottom