Mwanamke asiyejaliwa na Mume wake ni sawa na Nchi isiyotawalika

Kuna walioumbwa kutotawalika, kutopendeka na kutojaliwa

Hata ufanye nini viburi vyao huwapeleka next level

Bahati mbaya wakishavuka 40 wanakimbilia nyumba za ibada, wanakua mabalozi wa kupandikiza chuki against men Kwa wasichana

With the digital revolution- don’t bet anything for or against women

Naam
 
Ila hujasema tuzingatie lipi Sana Kati ya kutomuonea huruma au kumtunza nadhani unamaana kwa mke wa ndoa ni lazima kumtunza ila mademu TU tuendelee kuwakanyagia tusiwaonee huruma.
 
PAMOJA SANA mkuu
Ila hapo kwenye mitumba rekebisha mkuu me Nina pc yangu Kali nimeipata NImeipa hela ya rasta na leo nitainunulia lotion na body spray ila pia Kuna nguo za kike huwa nauza nachukua ilala majeje na vitop mixer vigauni vile vya ukweli nitampa.

Dukani Sina mpango wa kwenda Kaka nitafanya yaliyo ndani ya uwezo wangu
 
Kweli mkuu nchi imevaa sketi kama si dera lwa sasa. Kuna wanawake wengi sana wako vitengo na wana pesa balaa tatizo wamekosa mapenzi kutokana na wngi kuogopwa. Kwa hyo hata mm nilidhan m-tibeli 😄😄anatoa mbinu hzo za kupata na kuchakata papuchi za viwango😋😋
 
Back
Top Bottom