junior mzolo
Senior Member
- Jan 26, 2014
- 140
- 7
Dahh,,,,, hii inatisha sana kuna jamaa alikuwa anampenda sana mwanamke mmoja mtaani kwao, ,kiukweli yule mwanamke alikuwa mzuri wa kupindikua yaani tunaweza kusema ( very,very beautiful ),,,, basi kutokana na uzuri wa yule mwanamke ,,,,na wanaume wasivyokuwa na dogo walianza kumfatilia lakini wote alikuwa akiwakataa, ,,,,basi akatokea kijana mmoja tajiri akaanza kumfatilia lakini yule binti alikuwa akimkatilia lakini kijana alikomaa kwa muda mrefu sana hadi yule binti akaona amkubalie,, basi watu wote walishangaa sana kuona jamaa kakubaliwa na yule msichana mrembo, ,,,basi jamaa akatoa mahali na kila kitu kinachotakiwa na kufunga ndoa na yule binti basi wapendanao hao wakaenda kwao na kuanza kufanya mambo yao cha kushangazaa kumbe yule mwanamke alikuwa ana k**ma bali alikuwa na ka tundu tu kadogo ka kukojelea, ,,,,je, ,we umejifunza nini?