Mwanamke anayewatesa majirani kwa Kelele za Ngono atiwa Mbaroni tena

"Ilikuwa ni dakika 10 tu sio masaa mawili kama kawaida yetu, iweje majirani wametusikia wakati kitanda tulikiamshia chumba cha chini na sio chumbani", alilalamika Caroline.


Sisi huku kelele za vigodoro zinakesha hakuna hatua zinazochukuliwa pamoja na uwepo wa sheria
 
Halafu we kapisi unaonekana kabisa una vaibreshen ya hatari.
Usiniulize nimejuaje na wala Usifikirie kua nna undugu na shee yahaya useni.

Maendeleo hayana chama
Mbona unajiwahi sasa Mr mtabiri?

Mikutano ya hadhara imezuiliwa na kuimba wakati wa kukulana nayo mpige marufuku!!!!!
Maendeleo yatakuwa na chama hakuna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom