HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,911
- 6,591
Ivi kweli mtu umeubeba moyo wako na hisia unazo, uje kuuliza mke mwema utampataje?Tafuta kitu cha machame then after one year ulete report hapa
Awe mfupi, mwenye chunusi, kisirani, mitusi, gubu, mchawi,tena asiwe ana kuheshimu hata kidogo, kisha akupige na limbwata... Huyo ndiye mwanamke mzuri sana kuoa
Anayefaa kwa mtu mwenye sifa gani?
Mke wa mchungaji na mke wa mpika gongo sifa zao tofauti, hata mapishi yao ni kwa hadhira tofauti.
mke mwema hutoka kwa bwana YESU kristo
Young Master nakusalimu...
Ha ha haaaa!!! Heshima yako dada yangu mpendwa, nashukuru kwa kunikumbuka na heri ya mwaka mpya.