Mwanamke anayechepuka ni hatari sana

Ndio maana chizi mwanamke anaweza kuwa na watoto hata sita, ila chizi mwanaume hana mtoto hata mmoja..

Wanawake ni wa hisia, ndo maana misibani wanaongoza kulia. Na wanaume ni logic ndo maana wamejaa jeshini na mahakamani

Inshort wanawake wangekuwa kama wanaume, wanaume wengi wangebaki single, maana imagine mwanamke anampendea mtu kunukia tu huezi kusikia mwamba kampenda demu kisa ananukia vzr , au kampenda mwanamke kisa anafaulu vzr darasani
Wanaume wanaowataka wanawake kisa matako makubwa wanaingia kwenye kundi lipi ?

Na wana tofauti ipi na wanawake wanaowapenda wanaume kwa sababu ya kifua ?
 
Back
Top Bottom